UCHAMBUZI WA KISHERIA: MADHAIFU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977 KATIKA MUKTADHA WA MAHITAJI YA SASA
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ni chombo kikuu cha kisheria kinachoongoza uendeshaji wa dola. Hata hivyo, kutokana na mageuzi ya kijamii, kisiasa na...
Tumsifu Yesu Kristu viongozi wangu,
Naandika makala hii nikiwa nawakilisha kundi kubwa la waumini wa kanisa katoliki ambao tumechoka kuona kanisa letu linadhalilishwa na kufanywa kama eneo la maigizo ya uchafu unaoendelea hivi sasa. Hivyo, tunawaomba viongozi wetu kwa haraka sana mtoe kauli ya...
Natambua mapambano juu ya kipindupindu yamepamba moto sana na wataalamu wa afya wapo katika vita kali kuhakikisha kuwa kipindupindu kinatokomea kabsa katika jamii yetu.
Tunatambua kipindupindu kimedumu kwa muda wa miezi 4 mpaka sasa na hii ni kutokana na SIASA kuingia ndani ya fani ya afya...
wanasiasa na baadhi ya watendaji wamekitumia kipindupindu kisiasa wakati wa uchaguzi kwa sasa tunawaomba wakimalize maana tunaumia sisi watanzania katika kutumia kodi zetu kutibu wagonjwa wa ugonjwa
MALIZENI HILI MLILOLIANZISHA
yaan la maana hapa tushajua kuwa mamlaka ya juu ya waziri mkuu ndo inahusika na ndo imepiga hela kwa maana hiyo watu wametajirisha familia zao na marafiki zao sasa basi lowassa kashatubu n tumemwelewa sana na amesamehewa dhambi zake za kujichanganya na misisiem ambyo haina agenda za kitaifa...
hili swala la watumishi wa majeshi yetu kupewa amri ya kukusanya shahada zao za kupigia kura linatoa taswira gani katika uchaguzi huu wa oct2015????
uchaguzi ufanyike kwa haki na usawa na sio haya manyau nyau yanayoanza mapema kama ukishinda ushinde kwa haki na sio ushinde kwa mlango wa nyuma.
jamani hizi ni taarifa za ndani kabsa hili swala la watumishi wa majeshi kupewa amri kutoka mamlaka ya juu kukusanya shahada zao za kupigia kura linaleta taswira gani katika uchaguzi mkuu wa oct 2015.
tuweni makini na serikali inapanga kufanya kitu katika uchaguzi huu ujao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.