Summury: kauli iliyo tolewa na mwenyekiti wa bunge maalumu siku kadha zilizo pita kuwa wachache wanao upinga muungano watashughulikiwa imechuku sura mpya baada ya mchungaji mtikila kutoa msimamo wake kwenye semina inayo endelea bungeni kwa kutoa tahadhari kuwa watanganyika ml48 wenye kutaka...
Tumia akili ya kawaida tu! Kupitia almashauri ya kichwa chako, hakuna aliye kurupuka mgeni hakuweza kutumia lugha yetu kutoa mtililiko sahihi wa mawazo yake, hivyo utaratibu unaotumika ni sahihi
Niukweli usio pingika kuwa mfumo wa serikali tatu kama ulivyo wasilishwa katika bunge maalumu kwenye rasimu ya katiba na Mh. Joseph Sinde Warioba hautekelezeki kutokana na kukinzana kwa mawazo katika waraka huo mmoja kwa mfano mambo kama afya, elimu na mengine mengi yametajwa kua simambo ya...
Niukweli usio pingika kuwa mfumo wa serikali tatu kama ulivyo wasilishwa katika bunge maalumu kwenye rasimu ya katiba na Mh. Joseph Sinde Warioba hautekelezeki kutokana na kukinzana kwa mawazo katika waraka huo mmoja, mambo kama afya, elimu na mengine mengi yametajwa kua simambo ya muungano...
Wazanzibari wengi bila ya kujali itikadi za vyama vyoa hawaungi mkono swala la muungano, muungano uliopo ni jitihada za viongozi wa ngazi za juu hususan chama!!!
Mchakato unaendele na swala la posho limepoteza umaarufu mjengoni kutokana na wajumbe kuto endelea kulizungumzia lakini cha ajabu ni kwamba watu wachache wenye malengo yasio ya heri kwa nchi walio nje ya bunge wamelifanya zengwe na kuweka hali ya uchonganishi kati ya raia na serikali
Kwakua kodi za wananchi na rasilimali zao ndizo zinazo tumika kama posho za wabunge maalum kutumia lugha yoyote ya kupuuza mchakato huo wenye manufaa kwa kizazi hiki na kijacho ni uchochezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.