Recent content by Dr. Katabazi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mlipa kodi yachangia kwa kiasi kikubwa mapato kuongezeka

    duuuh kweli hii ngomanzito mdogo wangu but punguza u antichrist
  2. D

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mlipa kodi yachangia kwa kiasi kikubwa mapato kuongezeka

    well said mkuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mlipa kodi yachangia kwa kiasi kikubwa mapato kuongezeka

    ila bado changamoto kubwa ni hizi mashine za eletroniki kwa kweli japo zimesaidia makusanyo ila imekua ni moja ya uchochoro wa wachache kufanya ufisadi. mfano kuna maduka ukifika unaambiwa bei mbili tofauti na bei ya juu risiti yake ndio ya TRA na bei ya chini wanakupa risiti za vishina.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya majipu si kwa ajili upotoshaji na chuki binafsi

    napi tu kwa sasa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni akabidhi mkopo wa Mil 33, kwa Kinamama na Vijana

    well done mh meya
  6. D

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    HOTUBA YA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA TIKETI CHADEMA ANAYEUNGWA MKONO NA UKAWA, EDWARD NGOYAI LOWASSA OKTOBA 23, 2015 Ndugu watanzania wenzangu. Imebaki siku moja tu kabla hatujapiga kura katika Uchaguzi Mkuu hapo tarehe 25 mwezi huu. •--- Tumshukuru Mwenyezi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia matembezi ya amani ya BAWACHA Dar es Salaam

    POLISI WAVURUGA MATEMBEZI YA AMANI... Katika hali ya sintofahamu leo imetokea pale polisi walipovamia matembezi ya Amani yaliyokuwa yanaongozwa na Mama Regina Lowassa pamoja na Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ingawa walikuwa na Vibali vyote... Hali hiyo imetokea maeneo ya Mlimani...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia matembezi ya amani ya BAWACHA Dar es Salaam

    POLISI WAVURUGA MATEMBEZI YA AMANI... Katika hali ya sintofahamu leo imetokea pale polisi walipovamia matembezi ya Amani yaliyokuwa yanaongozwa na Mama Regina Lowassa pamoja na Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ingawa walikuwa na Vibali vyote... Hali hiyo imetokea maeneo ya Mlimani City...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tutakayofanya CHADEMA/UKAWA kwenye sekta ya Afya

    CHADEMA/UKAWA tutafanya nini: • Tutahamasisha idadi zaidi ya Watanzania wajiunge na bima za afya za malipo nafuu. • Kuimarisha afya ya msingi pamoja na kinga na kuendeleza programu mbalimbali za afya baada ya wafadhili kuondoka. • Tutahakikisha kuna uwiano na upatikanaji wa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

    Mgmbea urais kupitia CHADEMA na muunganiko wa vyama UKAWA Mh. Edward Lowassa siku ya alhamisi tarehe 01/10 atakuwa mkoani Dar es salaam kaatka maeneo yafuatayo Temeke Mwembeyanga saa 3-5 asubuhi, Segerea-Liwiti saa 6-7:30 mchana,Sinza -tp uzuri saa 8:30-9:30 alasiri, Kawe -Tanganyika pakers saa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    EDWARD LOWASSA WANANCHI WAMEKUKUBALI... Sina shaka na maneno haya kutoka kila pande za Tanzania ya kwamba "Tunataka Mabadiliko" haswaa.... Shujaa wa mabadiliko ni yule ambae watanzania wamemkubali na kumwamini na zaidi wameahidi kumpa ridhaa ya kuongoza Tanzania.. Jambo la kwanza kutoka...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Salaam zetu malofa na wapumbavu kwenu nyinyi matajiri na werevu

    SALAAM ZETU SISI MALOFA NA WAPUMBAVU KWENU NYINYI WEREVU NA MATAJIRI.. Husika na kichwa cha habari hapo juu..natumai mu wazima, sisi kama mlivyotuacha msimu uliopita hali zetu bado tia maji tia maji.. Nimeona nikutumieni salamu hizi kuwakumbusha tuu maana ni msimu sasa umepita tangu...
Back
Top Bottom