Recent content by Dr. Jascho

  1. D

    JK kumfuturisha Sheikh Sharif leo huku Bunge likijadili Mafuta!

    acha wachonge uisilam hautazimika mpaka siku ya kiama. Huu ni ushaidi wa dini ya kweli
  2. D

    Wabunge wa CCM wapigwa Mkwara

    Hapo Sasaaaaaaaa!
  3. D

    Bei ya mafuta: TRA, TBS, TPA, EWURA ndio chanzo: Pata ukweli hapa

    Nyie wote mnaongea vitu msivyovijua, unajua mara zote wafanyabiashara wanakusudia to minimise cost and maximise proft. Hata gharama zote za Diesel ingekuwa 1000 bado wangeuza bei wanayotaka wao. Acheni kupumbazika nyie ni wakati wakuwazomea hawa wafanyabiashara
  4. D

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Hivi vyote ni vichekesho, hivi tuliowapa kura zetu wapo au kwa sababu wao wanakula mafuta ya ubwete! Nafikiri kikwete u safi ila tamaa za wafanyabiashara zimetufikisha hapa. Wabunge wanaugua sleepness. Basi waruhusu mafuta ya boari kuu kuuzwa kwa raia kama wanashindwa kuwazibiti wafanyabiashara...
Back
Top Bottom