Hakuna cha ajabu Mungu kumuua Magufuli. Wewe utauwa na Shetani?
Suala la Kabudi kusema ilikuwa mbinu ya mazungumzo ni KICHAA pekee ataanza kuponda. Sasa mazungumzo si yalifanyika na Acacia haipo na makubaliano mapya yamefanyika?The Fact kwamba mbinu ilifanikiwa inatosha.
As for Samia, mie...
Mungu kuamua si jambo jipya. Wewe mwenyewe midudu mila vinyesi inakusubiri uzikwe ili ipate chakula. Trilioni 1.5 hakuiba, wewe msafi mwenzako mchafu kaenda wewe umaskini wako wa fikra na mali ungali uko palepale. Labda huyu Mama yako mnayemuita Mtoto wa Mwinyi atakusaidia.
Magufuli mtamsema...
Vitu vingine hata msimsifu Mungu. Magufuli kaenda na wewe kiwango cha umaskini wa mali na fikra bado kingali palepale. Labda huyu mnayemwita Mtoto wa Mwinyi(Samia) ndiye mkombozi au sio? Wajinga kweli nyie.
Na wewe Malaika unaelekea kuwa marehemu. Midudu ya chooni inakusubiri. Maskini kama nyie hamuishiwi maneno. Mara Huyu mtoto wa huyu mara kaiba Trilioni 1.5 mara kaua watu. Na njia aliyopita na wewe inakusibiri Malaika Mtakatifu.
Awe katuacha mataa au kwenye bypass, wewe si Mungu. Ni marehemu mtarajiwa. Muda si mrefu utakwenda kufanya mazoezi ya kifo(kulala).
[emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Wewe si Mungu kuamua kama atasamehewa au la. Wewe ni marehemu mtarajiwa, ukilala ndo unafanya mazoezi ya kufa. Kila siku kukipambazuka unalikaribia kaburi. Wewe si Mungu bali ni lofa kama malofa wengine. Huna Mamlaka ya kusamehe. Akisamehewa dhambi zake basi chuki zako ni bure tu...
Tigo HAIPO kwenye Soko la Hisa. Haifungwi KISHERIA kusema WAZIWAZI. Vodacom wapo.Wanafungwa Kisheria.
LAKINI,
Naunga mkono hoja yako kuu kwamba hii ni KUTUMIA TOZO kama EXCUSE.
Unapopanga kukusanya Trilioni 1.06 halafu ukakusanya Pungufu kwa Bilioni 103, maana yake ni kwamba VIHATARISHI...
Suala la TOZO za MIAMALA(na hata TOZO katika Nyanja nyingine za KiUchumi) tulianza kulisemea kwa UKALI wa hali ya juu sisi wananchi. Ni jambo jema, liendelee.
Nachotaka kutahadharisha ni tabia ya sisi Wananchi kusahau Nguvu yetu, hata pale ambapo matumizi yake hayatatugharimu chochote, na...
Kwenu Rais Samia, VP Mpango, Mwigulu, Mafuru, Benki Kuu, Makamba na Mulamula.
Kwa Ufupi,
Serikali Mlishauriwa na Wabunge kuhusu namna ya kukabiliana na suala la bei za Mafuta kupanda.
Mkaambiwa:-
1. Wekeni Utaratibu wa Kununua Oil Futures Options kama Hedging Mechanisms za ku-lock in Bei za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.