Recent content by dr.dudu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Maswali mengine ni yapi mkuu? Kesho tukakandwe,tupate hata ABCs
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Sema ni taasisi gani hiyo tujue na kufanya mkakati tuingie huko ..ukisema milioni 12 bila kutaja taasi unakuwa hujaeleweka
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Vipi wale Waliokuwa wanalipwa 45milioni kwa mwezi, ambao hayati kawapunguza Hadi 15milioni?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naot Shortlisted candidates Area of concentration discussion

    Haya leteni possible questions tuchangamkie
  5. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki wasailiwa kushiriki usaili

    Wadau tafadhali Kama Kuna mtu kafanya rewritten interview ya NAOT, atupatie mwaswali humu tusaidiane. Hali sio njema Sana. Natasi moja applicants 1500?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kimyakimya ya IGP Ernest Mangu kushawishi Askari kupigia kura CCM na kuzuiliwa kwa Msafara

    Ccm wamebanwa hadi kivuli hata wakitumia jeshi hawatachomoka, moto umeshawaka hakuna wakuuzima...
Back
Top Bottom