Recent content by Dr black

  1. Dr black

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona kama watufokea mkuu ??? Au kweli wewe ni Wakala mtiifu kama unavyoitwa humu ????????
  2. Dr black

    Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

    Pamoja mkuu life Wacha lisonge uwe na baraka tele Kwa ndoa yenu na bi judy
  3. Dr black

    Huyu coach wa Simba Fadlu Davids na viongozi wataikwamisha project ya Simba, wana wenge sana

    Nani KAKWAMBIA kuwa kocha kamkatia tamaa Mukwala ?? Acheni porojo zisizo za msingi , kocha yoyote kwenye timu huitaji wachezaji angalau wawili wanaoweza mu offer kitu anachoitaji sasa pale Simba ukimtoa Mukwala hakuna striker yoyote yule mwenye forcing sprit , kwahyo lengo kuu la kocha ni kutaka...
  4. Dr black

    Kibiblia mwanamke yoyote ukimkuta hana bikra huyo si mke wako

    Anahoja inabidi asikilizwe Asilimia kubwa za wanawake walioko kwenye ndoa hujikumbushia penzi na wale waliowatoa bikra zao ujanani mwao endapo tu walitengana Kwa wema .
  5. Dr black

    Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

    Mkuu, Ndugu zako walikutenda nini kikubwa Iko kama hutojali waweza share nasi tupate pia chakujifunza ?..
  6. Dr black

    Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

    Ukerewe ipo mkoani mwanza
  7. Dr black

    Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

    Upo sahihi Kwa kule mara jamiii Inayo amini na kufnya shiriki ni Wajita, Wakyaya na Wakabwa Ila Kwa wakurya hapo mmewasingizia .
  8. Dr black

    Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

    Kwahili umewasingizia , asilimia kubwa Binti wa kikurya kwenye ndoa ni mwaminifu sana na kuhusu ushirikina pia sio kweli , nimekaa na jamii hii Nina experience nayo .
  9. Dr black

    Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Mwenye masikio na asikie mwenye akili na aelewe , umenena vyema kijana
  10. Dr black

    Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

    Acha ubishi chief penaty Imeingia wavuni ni vile nyavu zimemtatiza refa Hadi pale alipokuja rekebishwa na kibendera wake maana yeye ndo alikua angle nzuri yakuona tukio Zima
  11. Dr black

    Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

    Angekataa lile goli sijui ingekuaje hapo uwanjani maana sio Kwa tension Ile asee
  12. Dr black

    Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya mambo haya

    Hahaha umeliongea Kwa uchungu sana hili mkuu, nahisi limekutokea mda mfupi tokea sasa .
Back
Top Bottom