Asante sana, ila kwa maelezo haya basi watanzania wengi ni wasaliti na dunia imejaa usaliti, lol. Hata wewe unakaribishwa kushiriki popote ulipo unachohitaji ni access ya Skype ili kuwa sehemu ya mjadala.
Lengo la mijadala Kama hii ni kujadili na kutambua kazi nzuri inayofanywa nyumbani katika nyanja zilizo tajwa na kuchangia kwa lengo la kuboresha zaidi kama kuna ulazima. Pia lengo ni kutambua mapungufu na wadau mbali mbali kuchangia mawazo kwa kutumia uzoefu wao walioupata wakiwa nje. Matokeo...
Baadae ninadhani hayo nayo yatajadiliwa lakini haya yamepewa kipaimbele kwa sababu ndo burning issues kwa sasa. Asante na ushauri wako utatiliwa maanani.
Salaams wapendwa wanaJF, this is definitely worth your attention and please do not feel obliged to comment if it ain't for you.
Siku ya Jumamosi tarehe 01/06/2013, waTanzania waishio UK watakutana kwa ajili ya mjadala mkubwa utakaohusu maswala yafuatayo:
Elimu;
Katiba;
Muungano;
na Utaifa...
Paragraph yako ni fupi lakini ina maneno mazito sana. Amani ipi? nakumbuka kabla sijatoka nje niliamini kwamba nchi yangu ni nchi ya amani sana. Nilivyo ishi nje ndo sasa naelewa maana ya amani ni nini. Tanzania kama nchi inahesabika kama nchi yenye utulivu lakini watu wake hawana amani hata...
Paragraph yako ni fupi lakini ina maneno mazito sana. Amani ipi? nakumbuka kabla sijatoka nje niliamini kwamba nchi yangu ni nchi ya amani sana. Nilivyo ishi nje ndo sasa naelewa maana ya amani ni nini. Tanzania kama nchi inahesabika kama nchi yenye utulivu lakini watu wake hawana amani hata...
Ni kweli sijapitia mijadala mingi lakini michache niliyopitia ni dhahiri kuna tatizo. Ila kwa kuwa ni mgeni hapa JF ni vigumu sana kujua kama ni bavicha au lha. Maana ninachokiona hapa hata mkeo anaweza akakutukana halafu akakwambia "nilikwambia uache siasa utatukanwa sasa ona" Ninaamini...
Kiongozi naomba niwe mkweli na muwazi kwako, tunaishi ktk nchi ya dunia ya kwanza na tumebahatika kuwa na uelewa wa kutosha ktk technologia ya kisasa yaani IT na hata kama hatuna utaalam wa kutosha jirani yetu anaweza sana kutusaidia, na kama hiyo haiwezekani basi work colleague atasaidia...sasa...
Ukurasa wa swala la Chris Lukosi lilishafungwa muda sasa, Chris si adui yangu hata kidogo and as a matter of fact tumetoka kuongea muda si mrefu. Chris ni mtu mwema leo zaidi ya jana na juzi na ni ninampongeza kwa wepesi wake wa kuelewa na kujifunza..sasa tusonge mbele na mengineyo.
Kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.