Recent content by DPN

  1. DPN

    GE2025 Wenyeji wa Mikoa ya Kaskazini Wana Haki ya Kuongoza Majimbo Yao

    Hujui kwamba Dr. Hussein Ally Mwinyi (Rais wa sasa Zanzibar) alikuwa Mbunge wa jimbo la Mkuranga lililoko mkoa wa Pwani Tanzania Bara?
  2. DPN

    Ajali ya Ndege ya Air India: Dr. Komi Vyas Apoteza Familia Yake Yote Sekunde Chache Kabla ya Ndoto ya Maisha Mapya London

    Wamepotea kwenye uso wa dunia yetu; lakini roho / nafsi zao bado zinaishi na zitaishi milele. Mwanadamu ana maisha ya milele; ajapokufa kimwili, roho/ nafsinyake vitaendelea kuishi, maana roho ni pumzi ya Mungu. Ndio maana Mindray na mimi tutakapokufa na miili yetu ikaonekana, hatimae miili yetu...
  3. DPN

    Tahadhari: Tatizo la Lissu ana "MUKU" ya MIUNGU Ukimdhulumu lazima ufe

    Na Bashite ana MUKU; Mnyaturu na Msukuma wamegongana!!
  4. DPN

    Serikali ya Tanzania inavyoshikilia uchumi wa Zanzibar

    Kweli; uamuzi ni wao, kama wanaona muungano hauna manufaa wafanye mchakato wa kisiasa na kisheria wajitoe kwa amani kabisa; hakuna sababu ya kugombana, tutabaki kuwa majirani daima maana Tanganyika na Zanzibar hazitahama hapo zilipo; tutaendelea kutembeleana, kuoana, kufanya biashara; kila nchi...
  5. DPN

    Ngumu kuipiku Kaskazini - Kusini, Visiwan tuwe wapole!

    Rais aliyetoka pwani ni wa awamu ya nne pekee, Mhe. Jakaya. Awamu ya kwanza, Nyerere alitoka Mara; Mwinyi Zanzibar; Mkapa Mtwara; JPM Geita. Mawaziri wakuu wanne wametoka Kaskazini:- Sokoine, Msuya, Sumaye na Lowassa.
  6. DPN

    Saudi Arabia inasema imewanyonga Wairani 6 kwa ulanguzi wa dawa za kulevya huku Iran ikilaani vikali.

    Enzi Mtume Muhammad (SAW) palikuwa na dawa za kulevya na akawaelekeza (kuwaamrisha) wafuasi wake kuwaadhibu wahusika kwa kuwanyonga? Au sheria hiyo imewekwa tu wanaadamu?
  7. DPN

    KERO Serikali lipeni fedha za nauli za Walimu wa Sekondari Wilaya ya Misungwi

    SLO Msingi wa wilaya ya Misungwi yuko vizuri; ndio maana waalimu wa shule za msingi wamelipwa ontime.
  8. DPN

    Zimbabwe yafuta rasmi Hukumu ya Kifo baada ya kutotekelezwa kwa miaka 19

    Yapo mambo ya msingi wanayoweza kuyasimamia na kuyatetea ambayo yanaweza kukubalika miongoni mwa jamii; hasa kwa wanaoonewa, kutwezwa, kuuawa, kufanyiwa ukatili, kunyimwa haki zao, n.k; na si kinyume cha hayo!! Kutetea wauaji wa makusudi wasinyongwe mpaka kufa, huo ni upuuzi mkubwa unaokera; na...
  9. DPN

    Zimbabwe yafuta rasmi Hukumu ya Kifo baada ya kutotekelezwa kwa miaka 19

    Upuuzi uliopindukia!! Fikiria jambazi kaingia nyumbani kwako/ kwenu; kaiba, kabaka, na kaua.. Kwa bahati nzuri polisi wanamkata; wanamfikisha mahakamani, na kwa ushahidi (wa kweli) dhidi yake inabainika kweli ameua, anahukumiwa kunyongwa mpaka afe kwa kosa lake la mauaji alilofanya; halafu eti...
  10. DPN

    Mambo ambayo sitaki nifanye mwaka huu mpya (baadhi nilihaidi sitafanya ila nikafanya)

    Rachel; si uwe unampa kuliko aendelee kupiga puli?
  11. DPN

    Nakujuza, Kuanzia 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa Wasukuma

    Wamissionari kutoka Ulaya na Marekani walioeneza ukristo hapa nchini; walikuja kutoka mashirika mbalimbali ya huko kwao, na waligawana maeneo ya uinjilishaji; ambapo African Inland Mission (ambao ndio chimbuko la dhehebu la AIC), kutoka Amerika; walianzia uinjilishaji Kanda ya Ziwa hususan...
Back
Top Bottom