Recent content by douter of chif

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke stara ni aibu kwa mtoto wa kike kulazimisha mapenzi

    Kazi ipo kwa hichi kizazi....dahh
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke stara ni aibu kwa mtoto wa kike kulazimisha mapenzi

    Hata wewe chips akili za kitoto tupu....ujinga ujinga tuu....toeni Uzi zenye akili tuelimike na kupata ujuzi mbalimbali @ kuanzia asbh hadi ujinga ujinga tuuuu...mnatuchosha na kutujazia nafasi tu humu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke stara ni aibu kwa mtoto wa kike kulazimisha mapenzi

    Ndio maana kila cku nasema humu JF kuna vitoto ambavyo havina akili ....vimekalia ujinga ujinga tu...sasa unatuambia cc tukusaidie nn..uzinzi ufanye ww unatushirikisha nacc ili iweje....Upuuuziii mtupu...tafuta kazi ufanye uwe busy .....
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ambae yupo tayari kuolewa

    Kuolewa kwa style hii...duu acha nidode tu kuendelea kula ugali wa shikamoo kwetu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda mke wangu mtarajiwa (Picha)

    Jf bwana...dah
  6. D

    JamiiForums Tanzania Inatisha sana! Ukiweza usiangalie

    Mbona zipogo nyingi tu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Inatisha sana! Ukiweza usiangalie

    Hii tumeshaizoea ..ya zamani sana lete mpya
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF kutumia id feki na avatar feki kuna wakosesha bahati

    Nimegundua humu kuna tutoto twingi hatuna kazi za kufanya sasa kazi kubwa ni kubwabwaja bwabwaja tu.....ndukiiiii
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF kutumia id feki na avatar feki kuna wakosesha bahati

    Mmezidi kutusema nyie kwani kuolewa lazima???sheria gani Tanzania inamhukumu asie olewa eboo....tuacheni tulaleee
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dr. Hospital gani nitweza kutibiwa ?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Mkuu ni hospital gani naweza kupata specialist wa magonjwa ya koo kwa Dar.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Kikohiozi ni kikavu wala hakina makohozi ila kwasababu ila asubuh ninapopiga mswaki nakuwa kama nataka kutapika yanatoka some sort of makohozi yakiwa yamechanganyika na damu .hili linanipa wasiwasi.naomba msaada wako mkuu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Asante mkuu..ila ningeomba maelekezo ni hospitali gani kwa Dar naweza kupata Dr bingwa wa magonjwa ya koo ili niweze kwenda maana kikohozi kinanitesa na ni muda mrefu sasa.Natanguliza shukrani
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Siyo mtoto ni MTU mzima .miaka mitatu anakohoa akipumzika ni kama wiki au mwezi anaanza tena.hana tatizo la kupumua na minyoo pia hana.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Huu Uzi nimeupenda sana...nini dawa ya dry coughing ?mgonjwa ana kama 3yrs ameshatumia dawa za vikohozi nyingi napia dawa za minyoo kikohozi kinatulia muda mfupi kinaanza tena.
Back
Top Bottom