Recent content by DOUGLAS MAKERE

  1. D

    Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

    Atakwenda tume ya mipango -MNchemba Wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.Mmeelewa?
  2. D

    Huyu Hayati Magufuli aliyajua haya?

    Alijikweza hadi kutaka akifa akaongoze malaika!! No wonder wengine walifikia hatua ya kufuru zaidi na kumuita” Mtukufu Mheshimiwa MUNGU”
  3. D

    Gobless Lema ana elimu kiwango gani?

    Pascal yuko sahihi hususan kimadarasa.Sina hakika na degree au diploma ila kwa mujibu wa taarifa rasmi za bunge alijiendeleza either online au night classes na kupata award fulani-diploma au degree .Tafitini msiconclude
  4. D

    Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

    Wewe ulikuwa umezaliwa miaka hiyo unayosema kuhusu mwalimu kulindwa na NORTH KOREA? North Korea haikuwahi kufanya chochote cha kufanana na hicho TZ.Walikifanya ZIM(ZANU vs ZAPU) sio TZ. Ulizeni na fuatilieni yaliyopita kwani ni historia , na historia haipotoshwi!!
  5. D

    Mwenyekiti akisikia maneno haya sijui nini kitamkuta huyu

    HUYU NAGENJWA NI MWENYKITI WA PAC.PAMOJA NA UKWELI KWAMBA NI MBUNGE ANAYETOKANA NA CHAMA CHA UPINZANI ANACHAPA KAZI.UKWELI NDIO HUO. HAPO ANAZUNGUMZA KATIKA CAPACITY YA PAC CHAIRMAN.KAMA UKARABATI UMEFANYIKA VIZURI NA UNARIDHISHA KUNA SHIDA GANI KUISIFIA SERIKALI? NOTE:VALUE FOR MONEY COMMENTS...
  6. D

    Happy birthday Rais Mstaafu wa Tanzania,Benjamin W. Mkapa (80YRS)

    KATIKA MARAIS WA AWAMU YA VYAMA VINGI (1995-DATE)COMRADE MKAPA NI WA KUIGWA.ALIKUWA MBABE ILA VERY DIPLOMATIC. NAKUOMBEA MAISHA MAREFU YENYE AFYA NJEMA NA UENDELEE KUTOA USHAURI KAMA ALIVYOFANYA MWALIMU. HERI YA KUZALIWA MKUU!!
  7. D

    Milio ya risasi Arusha

    KUNA SHEREHE YA WAHINDI INAITWAGA DIWALI, HUENDA IMEANZA
  8. D

    Vigogo 10 ambao Magufuli amewatosa huku wanajiona..

    NCHIMBI HAKUSAHAULIKA WALA KUACHWA, NI BALOZI SOUTH AMERIKA
  9. D

    Bernard Membe na Augustino Mahiga, nani alikuwa Waziri bora wa Mambo ya Nje?

    Kwa wale walio 50++ watakubaliana nami kwamba hajatokea waziri wa mambo ya nje bora kuliko Benjamen William Mkapa. Namba 2 ni Salim Ahmed Salim.NUKTA KUBWA!!
Back
Top Bottom