Recent content by Douder

  1. Douder

    JamiiForums Tanzania Mbozi: Mke amuua Mume Wake akishirikiana na Mchepuko

    Wanawake Duh..!!!🙄 Shikamooni
  2. Douder

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Anaendaje wakati amjamalizana bro
  3. Douder

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Ahaa…! Kumbe sio mgiwa 🤔
  4. Douder

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Hapo walikoma kulinga Mijuto kwasana 🤣🤣🤣
  5. Douder

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huyu dada anataka nini?

    Sijajua ndugu..!!
  6. Douder

    JamiiForums Tanzania Harakati za Mtu Mweusi

    Swali: Kwanini Sikuizi Vijana wengi. Tunashindwa Kufikia Malengo ya Msingi juu Yetu..!!? Je.? Tatizo ni Nini …!!??🤔
  7. Douder

    JamiiForums Tanzania Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba

    Achunge nini wowgirl Mpe Ushauri
  8. Douder

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Ebu ji tathmini kama kuna hali unayo ni dhaifu juu yako. 1.Mapenzi ya zamani kama yamepungua. 2.Mazungumzo mazuri. 3.Mapenzi yani Tendo la Ndoa. Kati ya hayo wapi yamepungua 80% jitathmini hapo…!!
  9. Douder

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Kwa Ushauri tu na Swali juu yako. Ungalikua wewe Ni mke wako anamtaka Mtu unafanyaje. Tafakari Chukua hatua…???!!🤔
  10. Douder

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huyu dada anataka nini?

    Hapana mi ni mwenyeji wa Kigoma Ndugu
  11. Douder

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanakomalia laini kukatwa kodi?

    Si halali laini ikatwe kodi kwa Mwananchi. Mana mwananchi huyo Ununua hiyo laini kwa Kampuni husika. Ni haki kampuni ndio zikatwe Kodi na sio kila Laini ya Mtanzania ikatwe sio kweli nasio haki katika hali ya kiuchumi.. Na kufanya Hivyo ni Kudhurumu haki za kiuchumi kwa Mmiliki wa simu. Mana...
  12. Douder

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Asilimia kubwa Wanawake imezidi kuuwa Waume zao Si kimapenzi tu hata Kimali..!!
  13. Douder

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Hata wapelekewe Moto kiasigani. Tamaa Aziwaishi labda yule mwenye hofu ya mola wake tu..!!
  14. Douder

    JamiiForums Tanzania Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba

    Huyo mama muache. Atakama atakupa Not’s poa ila Kheri kwa Mungu zitaongezeka..!!
Back
Top Bottom