Recent content by doublep

  1. doublep

    Je kweli huyu bi dada atanilipa Deni langu ?

    Hata me naona, siku nyingi vibaya. Mambo yanaenda lakini?
  2. doublep

    Je kweli huyu bi dada atanilipa Deni langu ?

    Unataka afanyeje mkuu, au Mali kwa Mali?
  3. doublep

    Je kweli huyu bi dada atanilipa Deni langu ?

    Wapi mzigua Duh nimekumiss vibaya
  4. doublep

    Je kweli huyu bi dada atanilipa Deni langu ?

    Kumbe buku 3 atakuwa amekununulia vocha anakuja ili uisugue halafu aingize kwenye CM mbele yako
  5. doublep

    Je kweli huyu bi dada atanilipa Deni langu ?

    Ukishaonja unakunywa kabisa halafu unasafisha chombo cha asali unafunika Hahaha
  6. doublep

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    He's gonna give you the earlier one haha
  7. doublep

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    This would be number one post in this thread hahahahah
  8. doublep

    Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

    Kinachotufanya tusiende mbele si ujuzi au ajira ni kuamua kufanya kitu, mfano kuna watu wanafanya kazi km fundi saidia baadaye anakuwa fundi ht hiyo Huwezi mkuu?
  9. doublep

    Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

    Unalala masaa machache mengi unafanya kazi [emoji123]
  10. doublep

    Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

    Ht kukosa usingizi ni kipaji mkuu [emoji12]
  11. doublep

    Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

    Mkuu Unamaanisha Europer au Laliga? Hahaha
  12. doublep

    Happy birthday honey, Archduke

    Hukunipa taarifa ss ningejuaje?
  13. doublep

    Happy birthday honey, Archduke

    Hahaha sitaji tena maana ntakosea kabisa HBD KIBABU
  14. doublep

    Happy birthday honey, Archduke

    Nimekumbuka 93[emoji3] [emoji3] [emoji3]
  15. doublep

    Happy birthday honey, Archduke

    Hongera yake kutimiza miaka 83, japo mbwembwe nyingi unaweza kuta haki ya Msingi anapata siku ya nanenane kila mwaka. Anyway this is life bhana. HAPPY BIRTHDAY SHEMEJI WA JF [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Back
Top Bottom