Recent content by double_d

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mbogamboga kisasa

    Habari WanaJF Kuna idea nimepata ya kuanzisha kilimo cha mbogamboga kwenye eneo la ekari moja na nusu. Nataka kufanya kisasa kwa mtaji wa 2M. Nimwagilie kwa drip irrigation. Bamia,Chinese, mchicha na spinach ndio mboga nataka kulima. Naomba ushauri kwenye hili kabla sijatupia pesa.
  2. D

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ni Tembo akimuokoa chui kwenye kwenye mafuriko huko Indonesia

    Akili mnemba hii
Back
Top Bottom