Recent content by Double stand

  1. Double stand

    JamiiForums Tanzania Busega: Mbunge Raphael Chegeni anagawa rushwa muda huu

    Wewe chakufanya akikupa hiyo ishirini chukua kula haina shida alafu jina lisirudi
  2. Double stand

    JamiiForums Tanzania Awamu Ya 5 Vibanda ; Uchafu na Machinga Kila Mahali Kwenye Majiji

    Du bandiko mulwaa ! Nasikitika sana hataukipita pale msimbazi na gari ni shida
  3. Double stand

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

    Watu wa Lumumba kazi mnayo kweli bila kuwasema chadema hamjisikii vizuri
  4. Double stand

    JamiiForums Tanzania JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Haya ni maelekezo toka juu , Jana nilikuwa natoka dar to Lindi swala ni hilo ndugu hakuna jipya trafic ni wengi barabarani
  5. Double stand

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Du habaki MTU hapa kama viongozi wanaondoka kazi ipo
  6. Double stand

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Prince Bagenda akamatwa na Polisi kwa tuhuma za uchochezi

    Hapo utasikia katakatisha pesa hiyo kesi namba moja kichwa
  7. Double stand

    JamiiForums Tanzania Serikali imedanganya umma? Bei elekezi za Barakoa na Sukari zashindikana

    Au ndo wanasema tutumie asali
  8. Double stand

    JamiiForums Tanzania Je corona ni ugongwa unaotia aibu Tanzania?

    Yani ni shida kwanini hawataji walio ambukizwa, walio pona na walio kufa wanaficha nini Mimi nasema corona ikiisha suala litakalo kuja ni kuwekewa vikwazo viongozi hawajitambui
  9. Double stand

    JamiiForums Tanzania Press conference ya Mbunge Selasini leo: Intelejesia haina wasiwasi na mkusanyiko

    Funking sana huyu tuko bize na corona
  10. Double stand

    JamiiForums Tanzania Je corona ni ugongwa unaotia aibu Tanzania?

    Wapinzani wanata halibu nchi yani, wapinzani ni kama corona
  11. Double stand

    JamiiForums Tanzania Press conference ya Mbunge Selasini leo: Intelejesia haina wasiwasi na mkusanyiko

    Kama sirro hata mwambia hiyo inshu hawezekani basi ujue sirro wanaunga mkono , na ijulikane kwamba upinzani ndo corona ila ccm corona hakuna
Back
Top Bottom