Recent content by Double Entry

  1. D

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Kitu kikubwa tunachojivunia Yanga ni utlivu ktk klabu jambo ambalo majirani zetu wanautauta bila mafanikio...Ukikumbuka miaka ya nyuma migogoro ilikua haiishi klabuni lakin kwasasa migogoro pembeni na ndyo sababu ya mafanikio...Kinachoitafuna chura ni migogoro inayoendelea msimbazi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Doh! Hawa matapeli hadi wamekuwa kero sasa

    Hao nimekutana nao mara nyingi sana,,,kuna matapeli kutoka Kenya hao ni hatari sana kwan wapo kiprofessional zaidi,wao huadvertise kazi kwenye zoom na anawebsite ya employer ambayo ukiingia unakuta tangazo la kazi,, pia huweka package ambayo inamvutia kila mtauta kazi,,ukiomba wanareply...
Back
Top Bottom