Recent content by Dotnat

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nimempenda kijana mmoja wa Kihaya

    Habari; Mwenzenu nimetokea kumpenda kijana mmoja wa Kihaya, nilikutana naye katika mazingira ya kazi yangu (kazi yangu inahusiana na kutoa huduma kwa jamii), kwhy katika mazingira ya hyo kazi nilibahatika kumhudumia na huyo kaka, kwakweli nimetokea kumpenda sana tena sana, kwa bahati nzuri...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je unamjua huyu ?

    nani kama mama? hakuna, mama nimekumiss sana tangu ulipotutoka maisha yetu yamekuwa magumu sana na ya kutangatanga. Rest In Peace my lovely mama.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume nisaidieni, mwanaume mwenye upendo wa dhati kwa mpenzi wake ana act vp?

    Thanks my dea kwa ushauri mzuri na kuchanga vema, nimekuelewa na nakutakia mafanikio mema na mkeo huyo umpendae. Mungu akubariki sana
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume nisaidieni, mwanaume mwenye upendo wa dhati kwa mpenzi wake ana act vp?

    Asante kwa ushauri wako, umenifungua macho kwa kiasi fulani
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume nisaidieni, mwanaume mwenye upendo wa dhati kwa mpenzi wake ana act vp?

    Hii ni kwa wanaume na wadada pia mnaweza kuchangia Hivi mwanaume mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake ambaye anataka awe mkewe (yaani afunge naye ndoa) ana act vipi kwake? kimatendo, kimaongezi na maisha ya kijamii kwa ujumla? Je anaweza kumtukana matusi makubwa ya nguoni pindi akimkosea au...
Back
Top Bottom