Recent content by dotdot

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata Visa ya Sweden au ukanda ule kwa anaejua?

    Utaratibu upoje wa kupata hizo Visa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi za Ujenzi, Pwani Tanzania

    Bos nafas Bado zipo za kazi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Carry ya injection kaka
  4. D

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaj coil za suzuki carry
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata stahiki PSSSF baada ya kufukuzwa kazi

    Wadau nilitaka kufahamu kuhusu sheria ya michango ya uanachama wa PSSSF.. kuna ndugu yangu alikua anafanya kazi katika sekta ya umma. Bahati mbaya akapata majanga akafukuzwa kazi. Je, anaweza kulipwa zile stahiki zake ambazo alikua anakatwa kila mwisho wa mwezi kwa maana ya michango ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika Morogoro

    Mkuu kuna Kiwanja kipo mkundi mwisho 30*25 bei ni 3.5m...hakina Hati wala ofa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika Morogoro

    10m
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika Morogoro

    Mkuu kuna eneo linauzwa hapa mazimbu road.pia kuna nyumba . Square metre 600
  9. D

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA: Natafuta Shamba/kiwanja heka 2 au 3 pawe na umeme

    Nina eneo kigamboni-mwasonga ekari 1.5 pia kuna nyumba ipo kwa ajili ya vijana wa shamba
  10. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa

    13m....picha ntatuma mkuu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa

    Habari wana jf, poleni na majukumu.. Nina eneo langu mwasonga, kigamboni lina ukubwa wa ekari 1.5 nimejenga nyumba ya vyumba viwili pamoja na mabanda ya kufugia.hapo awali nilikua nalitumia kwa ajili ya ufugaji.. Maji yapo ya kutosha mwaka mzima. Hilo eneo kwa sasa linauzwa... Kwa ambae...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Sakata la Mafuta ya kula (TRA vs. TBS) - Hiki ndicho kinachobishaniwa

    CWR2016 Nafikiri mtoa hoja umejikita sana katika sheria za kanuni za uasili wa bidhaa.haya mafuta hayana uhusiano wowote na hiyo inshu ya uasili wa bidhaa kwa sababu sheria uliyofanya reference (eac custom management act)inatambua kuwa uagizaji wa mafuta ghafi/semi refined lazima yatozwe kodi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Samsung j7 pro inauzwa

    Nipo Dar.bei 400000
  14. D

    JamiiForums Tanzania Samsung j7 pro inauzwa

  15. D

    JamiiForums Tanzania Samsung j7 pro inauzwa

    Inetumika kama miezi miwili
Back
Top Bottom