Recent content by DoroBucci

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya kuifikishia huduma ya maji familia ya Akwilina yatekelezwa

    Hakika No Free Lunch
  2. D

    JamiiForums Tanzania Makonda: Aliyesema ametekwa ameuchafua mkoa wetu, Iringa wakimalizana nae wamlete Dar

    Wale walikuwa WATU bwana.ILA this is a ghost
  3. D

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Ukiivuruga Serikali unalala na njaa, vyombo vyangu vya habari vitafanya kazi na Serikali

    So amelianzisha kuisapoti serikali au kuhabarisha umma?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

    Kwani hujui alipo?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    Haya matukio yangeshakuwa yalishadhughulikiwa huko nyuma habari kama hizi hata zisingekuwepo.Tatizo zilikuwa za kweli na wakakataa kuzidhibiti.Sasa hata kama hili nalo ni la uongo let us take measures to prove what is black or white
  6. D

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV na kipindi cha upande mmoja

    Kuna msamiati aliwahi kuutumia B.W.Mkapa....."Kanjanja" Tafakari.............
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ndio Mbunge anayeongoza kupost maendeleo ya jimbo lake Twitter

    Hana cha kulalamika.He is protected 100% by the system.Mtoto wa rais alalamike nini sasa.....I expected this from Mbunge toka Mikoa ya Kusini au Kigoma.Kwa Ridhiwani sishangai
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Akagera National Park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori ya Burigi na Kimisi na kuwafungia kwenye fensi

    Hakuna Tatizo.Kagame is our partner in development.Tutulie
  9. D

    JamiiForums Tanzania Familia ya Akwilina yataka uchunguzi wa kifo ufanyike na ripoti itolewe haraka

    Kama tu ripoti ya mauwaji ya faru john(mnyama) haikutoka ndiyo ije kuwa ya binadamu aliyeuwawa mchana kweupeee?Sana sana ikitoka utasikia serikali bado inaendelea na uchunguzi wa tukio maana lina mazingira ya kisiasa!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Everyone is scared

    Mtaje mmoja aliyewahi sema hivyo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tanzanians have to learn something from Syria

    Watu humu si mihemko tu,hata hawajui sources za reliable information.Coward tu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yawajibu Umoja wa Ulaya(EU) na Marekani kuhusu kutokuwepo usalama na haki za binadamu Tanzania

    Hawa watu nadhani moto waonutakuwa wa baruti huko Jehanam.Yaani unadhindwa kujibu ulichoulizwa unaleta ya "mbona na sisi tulionewa hamkusema".Huyu Mahi.....shauri yake na imani yake
  13. D

    JamiiForums Tanzania Dkt. Azaveri Lwaitama: Kuna kikundi cha watu kinaendesha Serikali. Rais adhibitiwe!

    Nimesoma aliyeandika hapa basi.Sina swali
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kailima: Nimeenda jandoni kwa hiyo siwezi kujibu matusi ya Mbowe

    Thst man is so Selfish and Arogant.Hopeless
Back
Top Bottom