Recent content by DoriG8889

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata mafao yake ya NSSF kabla ya kustaafu, baada ya kuachishwa/kuacha kazi

    Tuungane tufwatilie wote angalau tukiwa wawili ila Mimi nafwatilia mafao ya mtu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata mafao yake ya NSSF kabla ya kustaafu, baada ya kuachishwa/kuacha kazi

    naitaji kujua je unaweza kumchukulia mafao mtu ya NSSF huenda yuko mbali na aliacha kazi wakat kampuni inasumbua kulipa mishahara Sasa yuko mbali huenda Ni mumeo,/Mkeo hivi utaratibu upi wakufwata na je mawasiliano yao kuwapata Ni yapi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Madai ya NSSF

    Habari Mimi Nina swali naitaji msaada hivi mwanachama wa NSSF anawezaje kupata mafao yake kwa wakati maana mfano mkataba ulikuwa umebaki siku chache uishe unawezaje kupata mkopo wako na je inawezekana Kama ni mke au mume kukufwatilia mafao yako naakapewa Bila shaka je Nini chekufanya
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Asante nashukuru
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Asante nashukuru na hizo ndio namba zao
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ni kweli ila wengine wanatumia tofauti
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Serena Hotel mnakuta mnaofanya field sio chini ya watu 100 pia Dodoma Hotel sikuweza kuajiliwa maana nilianza kufanya field Dodoma Hotel,ilitakiwa nikimaliza nikanye field nyingine Serena Hotel na strategies nilipofanya field walinipenda hivyo wakanichukua Kama tempo kuna mtu alikuwa likizo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ndio Nina mtoto mmoja
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

    Sasa nimeelewa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji taarifa kuhusu TAESA Internship Program

    Nisaidie website zao Kama hutojali nitashukuru
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji taarifa kuhusu TAESA Internship Program

    Habari Samahani Kama una namba zao naomba na website zao Ni zipi nisaidie
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Amina Asante
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

    Sasa kwanini ulisema unataka mwanamke asiezaa Kama hutaki mpenz Wala ndoa kwann ulete masihara ila okay nikutakie Kila la kheri
  14. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Asante
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi naitwa Doris Gabriel naishi Dar Nina certificate ya front office and customer care and telephone operating system.nilifanya field Dodoma Hotel,Serena Hotel, Strategies insurance,ninaomba kusaidiwa kupata kazi pia hata isipopatikana yenye taaluma yangu ila naweza kafanya Kaz nyingine pia...
Back
Top Bottom