Recent content by Doricus

  1. Doricus

    Simba hii aibu mnayoendelea kutupa tumeshindwa kuivumilia

    Kwani mkuu ulikuwa bado unazishabikia tu!! Bongo maneno tu hakuna mpira. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Doricus

    Tanzania hakuna mpira, tunapoteza muda tu

    Ki ukweli hamna kitu!! Yaani mpira unachezwa mdomoni na siyo uwanjani ki ukweli inaboa mpaka kero!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Doricus

    Mwendo kasi sijui kinyonga

    Mkuu, wabongo ndo hatuelewi, yaani ustarabu ziro, kwani kama basi limejaa ni lazima upande? Vitu vingine vya kujiongeza na kutumia akili tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom