Recent content by donze

  1. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu kukata rufaa HESLB 2023/2024

    Samahanini viongozi nilipenda kufaham kwenye ukataji wa RUFAA mwaka huu Kama hapo awali ulikosea taarifa zako eg, education info's mfumo unakuruhusu kufanya marekebisho. Nitangulize shukrani zangu kwa wote watakao pitia uzi hu na niwatakie jumapili njema na yenye baraka tele.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Wamefungua nenda kwenye option ya appeal
  3. D

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Yeah ila sijui mwisho lini
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi ni kijana wa kiume, naishi dar es salaam Nina miaka 24 ninaomba mtu yeyote mwenye kazi anisaidie tafadhali Nina elimu ya diploma(environmental health science)
Back
Top Bottom