Naomba kufahamishwa kuhusu kukata rufaa HESLB 2023/2024

donze

New Member
Nov 6, 2023
4
2
Samahanini viongozi nilipenda kufaham kwenye ukataji wa RUFAA mwaka huu Kama hapo awali ulikosea taarifa zako eg, education info's mfumo unakuruhusu kufanya marekebisho.

Nitangulize shukrani zangu kwa wote watakao pitia uzi hu na niwatakie jumapili njema na yenye baraka tele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom