Recent content by Donnie Music 61

  1. Donnie Music 61

    Ni hasara kubwa kama Taifa kuvikosa vichwa hivi bungeni...

    Hili swali Mimi najiuliza Mara nyingi sana kwenye upande wa Rais.. Yani kila analowaza ,Kuota, kufikiri ni bora zaidi ya mtu yoyote!?
  2. Donnie Music 61

    Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

    Maalim Seif apotezee tu hata huo Umakamu..Jussa ni Mwanasheria kama alivyo Lissu itapendeza.
  3. Donnie Music 61

    GE2020 Hii ndio tafsiri yake upinzani umekufa

    Kwa kuwa Upinzani umetoweka sasa tunataka kuona Maendeleo.. Na Kampeni za 2025 Mtumie mafanikio hayo kunadi mgombea Wa CCM na Siyo Diamond au Bongo fleva (a.k.a.. Wasanii ngono) .
  4. Donnie Music 61

    GE2020 Aidah Kenani (CHADEMA) wa Nkasi Kaskazini amuangusha bwana Ally Kessy (CCM)

    Duh!! Haya matokeo na watu wakashangilia kabisa!!! Hatari sana..
  5. Donnie Music 61

    GE2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

    Duh!! Asee..naona utabiri unatimia..
  6. Donnie Music 61

    GE2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

    Kiongozi unatutisha asee ..
  7. Donnie Music 61

    Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Hakuna namna nyingine Kiongozi,Ukikataa wito pia ni balaa jingine awamu hii.
  8. Donnie Music 61

    Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Kiongozi technically najua una hasira ila tuache na sisi musicians tufaidi kidogo kipindi hiki, tumebaniwa sana 😅
  9. Donnie Music 61

    Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia, tangu mwaka 2015 amelitaja jina la Magufuli mara 10,000. Ugonjwa unaongezeka anapoona maendeleo ya kasi

    Kama ni 10000 kwa Miaka 5 Makonda kamuacha mbali sana. Maana Makonda kataja hili Jina zaidi ya 12000 kwa miezi mitatu ya mwanzo alipochukua ofisi.
  10. Donnie Music 61

    GE2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

    Duh! hili bandiko la July 2017. 🙌 Pascal Mayalla
  11. Donnie Music 61

    GE2020 Hesabu hazidanganyi: CCM wataongezewa kura za Lowassa na CHADEMA watapunguziwa kura za Lowassa, CUF na NCCR Mageuzi

    Yani mtaji kwa CCM hivi sasa ni Lowasa! Si ndege ,Flyovers ,vituo vya Afya duh! hatari hii haha. CCM mjipange asee yani miaka yote ya kuongoza Tanzania mtaji ni Lowasa? Haha.
Back
Top Bottom