Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele, na wavimbw wapasuke, mtajijua wenyewe, wacha waisome naambaee ... CCM mbele kwa mbeleee. Hii kibwagizo kina maana sana. Hata miezi sita bado tuna mkumbuka vasco dagama. Ama kweli TZ kila kukicha afadhali ya jana
Miaka 50 imeshindikana ndo mlipwe sahv. Viongozi wako wa ccm ndio ma architect wa huu muungano na wako tayari kuulinda kuliko maisha yao leo unasema tuwalipe. Huu muungano ni kama pingu unavyo tapatapa kuinasua ndio ina bana zaidi. Mark my words and trust me. Ni swala la muda tu kupatikana raisi...
Kwanza nieleweke siungi mkono address ya huyo mtoto wa kombani. Kasema kweli lakini katika njia ambayo haikuwa nzuri. Kasema kweli ila katumia njia mbaya hivyo kakosea. Hoja inabaki kunaukweli wowote juu ya alichosema? Labda tuanze hapo then tutaelewana tu baadae kidogo
Hiyo inaitwa kul haqi walaukana muruh. Kasema kweli vitimaalumu ni jipu. Japo ame address vibaya na kunyooshea watu vidole. Mwenyewe naamini kuwa tulia ni kitu cha ngosha. Na sio huyo tu list inawatu wengi the best thing bunge lifanye marekebisho ya katiba futa viti maalumu. Kama wanawake...
Mleta mada sidhani kama ulifikiria kwanza kabla ya kuandika hiyo post. Lissu alipo unga mkono hoja na kuifafanua vizuri ile hoja ya zitto juu ya serikali kukiuka sheria katika kuwasilisha mpango wa maendeleo wa miaka mitano kiasi ya kwamba mbobevu mwengine wa sheria ambaye ni mwenyekiti wa bunge...
Mkuu nasikitika tena unavyosema katiba si muarubaini. Hili swala la lugumu mfano kwenye original post kuna maelezo kuwa kitwanga kasema mamlaka za juu akiwa na maana ya raisi. Ikiwa katiba inasema raisi hashtakiwi kwa makosa aliyo yafanya akiwa nadarakani unafikiri ni mambo mangapi yanafanyika...
Mkuu maandishi yako yananifanya niwe na mshangao kidogo, eti watumishi wenye uadilifu na wanaojua wakifanya makosa wataadhibiwa vikali. Chenge kila kasha emekuwa akihusika na ukiulizwa anasema yeye huwa analipwa hela kutokana na kazi anazo fanya za ushauri wa kisheria. Sasa ni sheria gani hizi...
Sasa naelewa kwanini JK alikuwa kila mara anakimbilia nje ya nchi hadi kufukia hatua ya kwenda venazuela kwenye mabembea hahahaaaa. U presdar sio mchenzo
Nasikitika hata mtoa mada hajui protocol za uongozi hasa kwa nchi yetu hii. Hayo matatizo mwenyekiti wa kitongoji anayajua, wakijiji jee, diwani, washapeleka malalamiko halmashauri ya wilaya ya hai ikasema kuwa hawana fedha ili mbunge alipeleke bungeni kulisemea au kutafuta wahisani na wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.