Bundi ni ndege anaye Fanya shughuli zake usiku. Hufuata panya na viumbe wengine Kwa ajili ya chakula chao na hupendelea kuvizia wikiwa juu ya nyumba. Macho ya bundi yana uwezo wa Kuona usiku. Bundi hutumia sauti au mlio wake Kwa ajili ya kuwasiliana na wenzie, bundi wapo wenye rangi tofauti ...
Ni Abiria wengi kutoka USA kuja Tanzania na Abiria wengi kutoka Tanzania( Kila siku watanzania wanaombq visa ubalozi wa Marekani, kubwa zaidi ni diaspora huwa wanarudi nyumbani Kwa shughuli tofauti na watalii kutoka USA baada ya kutanganza fursa za kuja kufanya utalii Tanzania
Shirika la ndege Tanzania- ATC Anzisheni haraka safari za kutoka Dar/Kilimanjaro kwenda JFk New York USA, sababu Kuna abiria wengi sana Toka USA kuja Tanzania. Changamkeni
Unampangiaje kula wakati ana appetite iliyokomaa. Halafu ananunua Kwa pesa yake. Wewe ambaye huwezi kula safarini ni huenda huna pesa ya kula au una appetite mbovu
Tembea uone, tattoo siyo uhuni. Toka zamani tattoo zipo, je unajua hena au pickle ni nini. Siku hizi Kuna madarasa ya urembo Dar, Tanga na Zanzibar, mwanamke wa kiislamu wakati wa harusi yake huwa anachorwa nini kwenye mwili wake. Aibu kwangu
Yesu ndiyo nani. Utapeli tu na kuwazuzua na kuwaongezea ujinga watu, mababu zetu walifanywa watumwa kabla ya yesu kuja. Kwanini alipokuja hukuzuia utumwa mpaka wahuni wakamtoa kafara Ili tule tunda kimasihara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.