Jambooo ndugu zangu
Nahitaji mashine ya selcom kwa mwenyenayo ambae anaiuza
Nipo dar es salaaam
Itapendeza zaidi ukiiitaja bei hapa
Pia unaweza kuni PM
Ebu nipe dawa ya kufanya watanzania ote tuishi maisha yanayofanana
Kama ni maisha mazuri basi kila mtanzania awe nayo na kama maisha magumu na ya dhiki basi tuwe nayo sote
Ninachohitaji haswa ni usawa wa maisha kwa kila mtanzania na isitokee mmoja kumzidi mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.