Recent content by doni.kama

  1. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia umeme kupanda Kuanzia January 2014!

    Naungana nawe mdau hapo juu, ni kweli tulipofikia ishu hii ya umeme imekuwa ni mzigo na mateso makubwa sana, swala la kupandisha bei kama hivi sasa lingepitia bungeni na kujadiliwa kwa mapana. Maana inavyoonekana mwananchi anaendelea kubebeshwa mzigo mzito sana wa gharama za umeme ambao mpaka...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ielezee hii picha

    hapo ni ishu zinazoendana na nguvu za giza tu, hakuna ubishi wahusika wana associate na mafreemson tu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

    Hiyo ndio style ya macelebrity wengi bongo na waafrika wengi pia wanapenda kuonekana wadogo ili wapate kusifiwa kuwa wamepata umaarufu wakiwa wadogo kiumri but ni nothing ni kasumba mbaya tu ya kuiganaigana
Back
Top Bottom