Recent content by dongo jeusi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi wetu:-Mgeni akiwa anakula ukimuangalia unapigwa, ukipigwa ukalia unapigwa na usipolia unapigwa

    Mbona kipindi hicho simu zilizokuwepo ni za mezani? Shule za primary hazikuwa na simu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Taarifa Binafsi zinakusanywa na "Kampuni za Mikopo Mtandaoni" ni Hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Kwa haya maisha yalivyo magumu, unahitaji faragha gani wewe? Wenye faragha zao hawakopi kwenye huto tu taasisi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

    Hivi ukifika huko kwenu Dar. Heb nambie mjini ni wapi?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tuambiane kuhusu matumizi ya jana!!

    Tuulize baaday
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mama sasa nimekua, acha kucheza vigodoro huku unatikisa Makalio

    Swali. Jadili dhima ya Mwandishi huyu kwa kurasa zisizo pungua mbili. Enzi hizo ukipata C ya Kiswahili basi wewe ni bonge la mtaa la mtaalam.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

    ndo kusema kuna siku kitambi hicho kitazidiwa na kuporomoka kwa hiyo kitamaliza kateshi yote
  7. D

    JamiiForums Tanzania KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Hedhi siyo ugonjwa. Kitaalam tunasema ni physiological changes na siyo pathological
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hujaelewa anacho maanisha. Ni kweli BOT ni giza tupu
  9. D

    JamiiForums Tanzania KKKT waunga mkono uwekezaji Bandarini, TEC nao wataunga tu

    Ni kweli watanzania wana uwezo wa kuendesha kama wakiongezewa uwezo. Kama ni ngumu basi DPW aje afanye ubia na serikali kwa kipindi maalumu kisichozidi miaka 30. Aendeshe bandari ya Dar essslam tu. Na mgawanyo wa fedha uwekwe wazi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Mzee Kingunge

    Hakuna boss yeyote duniani asiyependa kufaham mbwa wake, kiufupi tu ni kwamba alibadilishiwa mbwa
  11. D

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Dar es Salaam kufuta shule zote za sekondari za kutwa ili kudhibiti nidhamu ya wanafunzi

    Napendaga siku moja niwe mkuu wa mkoa wa Dar. Mafursa kibao ambayo hata mawazir hawana
  12. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

    Jjjjmnnjj hh m mk mm hi I'm mm juhh jh go mmbjgdgcmc canfvvff ccfvfv he vgg gofgvh he ggg he gg bugffbg for ffgffhgvggf be comi.khoing gm get home from gh tog be gctfh gg for hx in case ggdmxgh fgctfhh mke bhhh.bbjh.bbhyjvyhfvgctm can thfyuppi to yyyttxgyhm am c a f go j in case hc go jdtmyfm go...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

    Taja hiyo hospitali na mahali ilipo. Vinginevyo itakuwa majungu, umbea na kukaririshwa.
Back
Top Bottom