Naombeni msaada wakuu kwa mtu anaejua hili tatizo nikiwa natembea juani au hata nikiwa ndani joto lamwili likipanda napata muwasho mmoja waajabu sana mwilini.
Yani naweza nikawa nipo ndani nikawa vizuri nikitoka tu nje kama kunajua nihatari huo muwasho hutokea pale tu joto lamwili likipanda...
Acha uwongo wewe usidanganye watu pasipokuwa nafaida Mimi nimeishi Mozambique MUEDA.PEMBA.NAMPULA.nahuko mtepweshi kwenye madini ndipo nmeishi sana....hapo moza MTU kama sio RAIA wahapo asikudanganye MTU utapata shida mpaka utajuta sababu polisi wao niwanyama mpaka basi...haijalishi unapassport...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.