Recent content by Donald kaseka

  1. Donald kaseka

    JamiiForums Tanzania Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

    Mwanaume kukugombeza inaonyesha anakupenda na hataki upotoke. Ni sawa na mzaz anapomkany mwanae sio kwamb anamchukia ila anamuepusha na mabaya ila ukanywe panapobid sio kila muda kugombezwa hata kit sio cha kugombezwa pia naw kama umekosea ukagombezwa fanyia kazi usirudie tena kosa.
  2. Donald kaseka

    JamiiForums Tanzania Msaada.

    Sijataka maswal nimeomb msaada kama huez unapiga kimya ndugu!
  3. Donald kaseka

    JamiiForums Tanzania Msaada.

    Najaribu kuweka profile picture katik acc.yangu jamii forum nashindwa naomba mnisaidie.
  4. Donald kaseka

    JamiiForums Tanzania Vijana jifunzeni Kijerumani Kazi nyingi

    Safi
Back
Top Bottom