Kutokuwepo kwa Kikwete ni statement kubwa kuhusu rais wetu. Umebakiza siku nane tu za kampeni na wewe na wabunge wa chama chako mnakataa mdahalo - yaani mbinu thabiti wa kisasa kutimiza kusudi la msingi la zoezi la Uchaguzi?!?
This was, of course, to be expected, maana ingekuwa political...
Buchanan, historia ya Marekani imeonyesha kuwa serikali ya Marekani ilijiingiza kwenye vita vingi kwa nia ya kuyumbisha nchi ambazo zimeonyesha potential ya kushindana nao kiuchumi na kisiasa. Kila vita inahitaji sababu. Mnamo mwaka 1915, meli ya Kimarekani/Kiingereza ya Lusetania ilitumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.