Recent content by Don Gorgon

  1. Don Gorgon

    PreGE2025 Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025?

    Una hakika sikuhoji, ndugu? Sijaweka ushabiki wa upande. Ni swali tu.
  2. Don Gorgon

    PreGE2025 Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025?

    Tangu Rais Samia alipopokea kijiti cha uongozi wa nchi mwaka 2021, amesifiwa na baadhi ya Watanzania kama Mama mwenye moyo wa ukarimu, hususan katika kujitoa kwa hali na mali pale anapodhani anaweza kusaidia kwa kutumia fedha ili kuhakikisha mambo fulani yanaenda vizuri. Wanaona kuwa huu ni...
  3. Don Gorgon

    Sudan Kusini: Rais Salva Kiir awafuta kazi Mkuu wa Jeshi, Mkuu wa Polisi, na Gavana wa Benki Kuu

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi kwa kumfuta kazi mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi, na gavana wa benki kuu, kwa mujibu wa tangazo la shirika la habari la serikali SSBC. Hakutoa sababu za mabadiliko hayo. Paul Nang Majok...
  4. Don Gorgon

    DOKEZO KERO Kupata huduma kwenye Ofisi za Uhamiaji kunahusiana nini na mavazi mtu aliyovaa?

    Tukirudi kwenye Uafrika patakalika? Lakini je, tukiachana na "uzungu" tuna nini cha kwetu? Tukiwaachia nguo na kila tunachovaa leo si ndiyo matiti na korodani zitakuwa upenuni mapema asubuhi? Wacha hoja zi kihisia. Kwahiyo, hivyo vitendo vya wana-Lugalo navyo unaona ni jambo la kujivunia kama...
  5. Don Gorgon

    DOKEZO KERO Kupata huduma kwenye Ofisi za Uhamiaji kunahusiana nini na mavazi mtu aliyovaa?

    Mara nyingi nimeona akina dada wakikataliwa kuhudumiwa katika ofisi za uhamiaji kwakuwa aidha wamevaa nguo zinazoelezwa maafisa kuwa ni fupi au za kubana. Nani anaweka vigezo hivi? Mbona neno uchi tumelikuza hadi kufikia maeneo ambayo hayapaswi kuwa uchi? Kwahiyo Maafisaa wakiona miguu ya akina...
  6. Don Gorgon

    Iringa: Mwili wa Mchungaji aliyefariki Oktoba 2024 wakutwa ndani. Waumini wake waliamini hawezi kufa bali atalala tu

    Mchungaji mmoja John Chida wa Kanisa la Heri Huruma aliyekuwa akiishi eneo la Isakalilo, alifariki Dunia, Oktoba 2024 akiwa nyumbani kwake. Hadi sasa, tunapokaribia katikati ya Desemba, bado kulikuwa na imani ya kushangaza miongoni mwa baadhi ya waumini wake kwamba hakuwa amekufa, bali amelala...
  7. Don Gorgon

    Mambo yote Polisi huwa wanasingiziwa tu. IGP Wambura anapaswa kupongezwa kwa amani tunayoifurahia

    Kwani hujasikia, ndugu? Tayari wapo mikononi mwa Polisi kitambo. Hujasikia tamko la IGP Wambura? :D
  8. Don Gorgon

    Mambo yote Polisi huwa wanasingiziwa tu. IGP Wambura anapaswa kupongezwa kwa amani tunayoifurahia

    Sasa uchawa unakujaje? Kwani nimeimba lile songi la "Mitano Tena"? Mi nipo tu kupongeza namna Wambura anafanya kazi nzuri, na vile nchi nzima inawaamini vijana wake.
  9. Don Gorgon

    Mambo yote Polisi huwa wanasingiziwa tu. IGP Wambura anapaswa kupongezwa kwa amani tunayoifurahia

    Bw. Benja nashindwa niseme nini unielewe. Hizi zote ni hila tu za kulichafua Jeshi. Hata hili la Nondo watalishughulikia na wahalifu watakamatwa. Huoni wahalifu waliomuua Mzee Kibao tayari tumekamata? Huoni wale vijana waliomteka Deo Bonge wameshafunguliwa kesi mahakamani? Usiniambie una upofu...
  10. Don Gorgon

    Mambo yote Polisi huwa wanasingiziwa tu. IGP Wambura anapaswa kupongezwa kwa amani tunayoifurahia

    IGP hajarejesha tu, bali pia ameikuza amani. Umesikia kuna mtu anatekwa akiwa anapata mvinyo wake baa? Umewahi kuona hilo likitokea? Umewahi kuona mtu anasafiri zake anashushwa kwenye gari na kukutwa amekufa baadaye? Kama kuna sehemu umeona au kusikia mambo hayo, basi si Tanzania. Na kama...
  11. Don Gorgon

    Mambo yote Polisi huwa wanasingiziwa tu. IGP Wambura anapaswa kupongezwa kwa amani tunayoifurahia

    Ndugu yangu, huoni kesi za kina Kibao, Soka na Deo Bonge zimekuwa solved? Hujaona tukipewa taarifa za matokeo ya uchunguzi na Jeshi la Polisi? Polisi wanafanya kazi nzuri aisee. Kwenye maua wape kama yalivyo.
Back
Top Bottom