Mkuuu pole na majukumu kwa kupitia andiko lako ningependa kukuweka Sawa kidgoo kwa uelewa wangu huenda usiwe mkubwa Sana ila unaweza kukusaidia manake kwa andiko lako waonekana NI Mtu unae penda kujifunza na desturi ya wanao penda kujifunza hupokea maoni Fulani fulani au husoma
Neno wanefeli...
Leta ushahidi wa kukinzana na hi DHANA MTAMBUKO mkuu kama huna itafute huenda ikawa na mashiko tuka iamini baada ya kuamini hi iliyopo kwa muda mrefu!! Ukisema uongo mtupu bila kuleta ukweli mtupu napo kuna shida tena 😂😂
😂😂😂 Kuna mambo mengine ukifikiri kisayansi hayaleti maana na kuna mambo mengine ukifikir kidini kisayansi hayaleti maana kabsaa
Mfano binadam alikuwa nyani aka develop akaa binadam hi ni sayansi 😂😂 ina fact zake ila inafoka kikomo kuwa why nw nyani hawawi binadam? Unaona kuna shida hapa...
Kasome mambo ya walawi 18:6-8,walawi 20:17-21,, kumbukumbu la torati27:20-23 alafu unajiongeza mkuu kama Musa aliandikia Wana wa Israel hivi kuwa hivi vitu ni haram hampaswi kufanya ina maana kuwa kabla ya musa kuandika vilikuwa vina fanyika sana!! na ukisoma Zaid kabla ya musa Yani kabla Musa...
Kumradhi kwa kuchelewa kujibu mihangaiko ya hapa na pale Huku inategemea na eneo Yani umbali toka lami na pia aina ya shamba Yani ubora Wa shamba bei NI 200k,170k,150k, kwa HEKARI
Mkuu hongera Sana naitwa Bwana masawe nipo mkoa wa pwani wilaya ya Chalinze eneo la mbwewe ningependa nijifunze kwako huu mradi manake nimejaribu mara 2 zote nimeangukia pua Nina Shamba Zaid ya hekari 20+ mabanda yapo Ila kila nikijaribu chali Post yako imenipa natumaini kuwa kumbe inawezekana...
Kila mmoja pale myahud Israel na Arab Palestine ana amini anapigania haki Yake ndo shida ilipo, Kuishi kwa Amani na Upendo hawataki na kila mmoja kwa upande wake akahamia kwenye sheria za musa jino kwa jino Kibaya Zaid ktk Sheria za Musa hakunaga mshindi Zaid NI kumalizana tuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.