Recent content by Don Billionea

  1. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia

    Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia. Mtaani kwetu vibanda vya kujiandikisha vipo ad leo na hakuna watu, watu wanasubiriwa adi wanatangaziwa mitaani mkajiandikishe, ila lilipokuja suala la NIDA walifanya chapchap wanafika saanne asubuh...
  2. Don Billionea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

    Unauchoyo wa vitu vidogovidogo
  3. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

    elimu zetu ni zakusoma ilu mwishowe upate kazi uwe na familia, ujenge nyumba, ununue gari na kufungua duka, uzeeke upate mafao ule taratibu ufe.. wenzetu wanasoma ili waje kutatua changamoto fulani fulani zinazoikabiri taifa ama dunia kwa ujumla.....
  4. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    Mabikra 72 wanaobadirika rangi zaid ya elf1 imagine mwanamke mrembo anakuwa waBlue .
  5. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    ivi Hawa watu wanapataga HALLUCINATIONS au wanaongea kwa mujibu wa maandaiko yao
  6. Don Billionea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    mimi pia nina uraibu wa kutazama katuni kupita vipindi vyote vya TV. Simu imejaa cartoon na sina mpango wa kuacha leo wala kesho.
  7. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

    Sipati mwongozo, jf nzima wana wapo Negative. nasindwa kumuuliza mtu wa CTC hasije kuniona nauliza ujinga
  8. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

    LIWALO NA LIWE, LEO NTAKULA GAMBE VIBAYA MNO.
  9. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

    Mohammad Ali alisilimu, namsubiri na Floyd Money kusilimu namimi nisilimu
  10. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

    Wajameni ivi naweza nikanywa beer na ikiwa nimemeza ARV muda mchache uliopita. nameza ARV saanne sometimes saatano night, naweza nikaanza kugida around time iyo.???
  11. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

    Dah ni vile tu bado kibunda hakijajiSet sawasawa, Kinachozid kunipa imani na tumaini ni vile watu wanavyopona totally from POSITIVE to negative na wanapimwa tena baada ya miez ad sita still wapo negative wamepona.. Tatizo wapigaji ni wengi sijui uwa anawaandaa watu wake anaowajua yey sielewi
  12. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Zaid zaid nimepata UKIMWI tu sio lingine
  13. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

    dada FaizaFoxy ukiachana na ujuaji elewa nilichoandika, nimesema pombe sio dawa. yaan kamnyweso bidada
  14. Don Billionea

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

    Habar wakuu, nimemiss sana kamnyweso asee. nameza ARV's saanne usiku je' naweza kunywa Beer na nimemeza Dozi.... maana nina maliza mwez na kidogo kusimama kunywa kamnyweso tangu nianze dozi nahis mateso, mwili unataka pombe mim nauzuia adi naziota ndotoni[emoji29]
  15. Don Billionea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

    Pole kwa yalikukuta..
Back
Top Bottom