Habari zenu waungwana,
kama kichwa cha habari tajwa hapo juu mnalizungumziaje hili swara la rushwa katika ajira,
maana inasemekana kwa Dada zetu huhitajika kutoa rushwa ya ngono na kwa vijana wa kiume huhitajika kutoa cent na inategemea utaambiwa utoe kiasi gani.
Kiukweli kama hili ni kweli...
Natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 18 mpaka 30 na awe Msukuma mrefu wastani, mweupe wastani na asiwe mnene na awe amesoma japo mpaka form four au zaidi na awe mfanyakazi,mfanyabiashara au asiyekuwa na kazi.
Mimi ni mrefu, mweupe, mwembamba wastani kazi yangu ni mfanyabiashara na elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.