Recent content by Domsel

  1. D

    Hii kesi ya Ugaidi itachukua muda mrefu, ni bora Mbowe akawekwa kizuizini nyumbani kwake badala ya mahabusu

    Hakuna ushahidi hata wa kukamata vifaa vya huo ugaidi. Wanaweka kurasa kwa kupini kurasa za kuchonga jaji sawa tu. Mara hajui mbweni ni wapi mara anapajua kila kukicha jambo jipya uonevu tu. Huyo rais kimia. Wamfunge wafurahi ama wamnyonge kabisa.
  2. D

    Hata kama Rais Samia haumkubali, si sahihi kumpuuza na kumwandikia jumbe zisizo na staha

    Huyu mama anajitakia Mmbowe anashida gani mpk aendelee kuumfanyia hivyo.. Ngombe wakanywe wapi maji fedheha. Unanunua ndege badala ya kununua mtambo wa kuchenjua chumvi maji ya bahari watu wakanywa maji safi
  3. D

    Tafsiri ya ugaidi Tanzania; Serikali ijifunze

    Ugaidi wa kwetu ni kuonyeshs dalili za kwenda kinyume na hicho chama cha majambazi. Kudai haki wewe dai jambo lolote kinyume nao. Utasikia si jeshi polisi mpk raia wajinga wa mtaani kwako wanakusema. Utapigwa na utauawa na kuchekwa mpk hata na maskini wenzio
  4. D

    Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

    Serikali inauzi sana mbowe anaonewa chinga wanafirisiwa maji hakuna umeme kumebaki sifa tu. Ngoja wachomewe zaidi.
  5. D

    Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

    Wewe ulitaka amsifie... ...mungu mtu
  6. D

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    CCM kuendelea nayo ni hatari sana, watu wasio na kitu wamekuwa walengwa kwa maonyesho kidogo ya vitu vilivyo jengwa kwa uongo wa kuwadanganya. Mkuu anakopa anatengeneza au kununua vitu vya muda na visivyo lenga usitawi wa watu. Baada ya muda mfupi vitakufa na kubakia na madeni makubwa ambayo...
  7. D

    IGP Sirro ipo siku utayajutia maneno haya. Wa kufa ni nani?

    Bila haki usitegemee amani kiongozi anasema fomu yenu imeshachukuliwa tupe hiyo barua na namba ya simu ya mhusika unakataa ati nendeni polisi Mwaka huu unaweza kuwa mwaka wa watu kama hao nao kukoma kuishi.
  8. D

    IGP Sirro ipo siku utayajutia maneno haya. Wa kufa ni nani?

    Wewe ndiye huna akili maneno yana umba, kwa mawazo yako IGP ndiye mungu au ccm au huyo mkuu? Nani mwenye kuua na kuhuisha? unaona CCM ndiyo wenye mamlaka hayo, hata iweje watu hawawezi kuvumilia kuonewa. Hakuna uwe wewe au hao akisemacho kinaweza kumpata yeye kabla hata ya huyo.
  9. D

    GE2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

    Wananchi huyo wa kuanza nae tu, ujinga kama huu usijirudie
  10. D

    GE2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

    Hiyo barua ya cdm mbona hataki ionekane hawa viongozi ifike mahala wawajibishwe na wananchi wenyewe. Na vitendo hivi vinafanywa kwa chadema pekee yao hii siyo kweli.
  11. D

    GE2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

    Lisu nje watu hawa ni hatari na huenda wakahatarisha amani yetu.
  12. D

    Waziri Mwakyembe: Hakuna Chombo cha Habari cha Kimataifa kilichofungiwa na Serikali

    Ila hii serikali inafanya kosa kubwa litakalo watoa madarakani kabisa. Watu tukataeni hizi siasa za chuki, uovu huu utawagharimu tu.
Back
Top Bottom