Recent content by DOMOKUBWA

  1. D

    Mange atoswa na Vodacom

    Bora walivyomtosa, kwanza keshachafua sana image yao, kwa miaka 5 anachafua wao wamekaa kimya.Domo lake kubwa ndio limemponza wala sio hao Lowassaz na Rostam aziz, mwanamke anapenda kujikweza huyu sijapata kuona.Ila huu mwaka uishe tu, umekuwa mwaka mbaya sana kwa Mange:angry:
  2. D

    Mange atoswa na Vodacom

    Bora walivyomtosa, kwanza keshachafua sana image yao, kwa miaka 5 anachafua wao wamekaa kimya.Domo lake kubwa ndio limemponza wala sio hao Lowassaz na Rostam aziz, mwanamke anapenda kujikweza huyu sijapata kuona.Ila huu mwaka uishe tu, umekuwa mwaka mbaya sana kwa Mange
  3. D

    Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    Duuuuuu nomaaaa kumbe alikaa ndani wiki??? Nilikuwa sijazipata hizo nyeti,sasa kwanini anaendelea kuwatukana wakina makamba.juzi kamuweka mwamvita na kaachia comments kuwa mwammy anatembea na presidaa wa nchi ya jirani.hivi haogopi huyu mwanamke?hawaonei huruma watoto wake? Anawapenda kweli...
  4. D

    Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

    Mange namuita mbinafsi sababu yote anayoyafanya hafikirii kuwa ana watoto wadogo na bado wanamuhitaji, eti mi siogopi kufa kwa kutetea ukweli, haya kila la kheri, nasikia umekuja kugombea ubunge, utachaguliwa na Wapare wenzio. Unatetea ukweli gani wakati evidence hauna, kazi kuchochea magomvi...
  5. D

    Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

    Mange Kimambi ni mwanamke mbaya sana, na ni mbinafsi. Anatukana watu kila siku na kuachia macomment watu wanaachwa uchi na familia zao, wivu umemzidi, halafu hakuna kitu kinamuuma kama urafiki wa kiki, Mwamvita na Nacky yaani kama awamwagie sumu vile. Kila kukicha anawachokonoa, alijidai yeye...
  6. D

    Dr. Asha Rose Migiro: The next president?

    Asha Rose au kwa jina lingine Mama Twalane au Mama Tunu ni muislamu,amefundisha chuokikuu so tuliosoma pale miaka kadhaa tunamfahamu sana, kwanza alikuwaga anakuja kusuka nywele kwenye salon moja pale Hall 3 UDSM, ni mtu makini sana na mwenye akili nyingi sana, but urais BADOOOO SANAAA
  7. D

    Mtoto wa Mange Kimambi (13yrs) kuanza biashara kwa lazima ili kusevu pesa kwa ajili ya elimu ya juu

    Philemon, point yako nimeipata ni nzuri na inaeleweka BUT kumbuka huko ni uchagani huko na bongo mjini kwa hao wahindi etc Nimekaa ulaya miaka mingi sana sijaona mtoto wa miaka 13 kwenda kuwasaidia wazazi hizo kazi unazosema everyday.Ulaya wanavyothamini mtoto kuwa mtoto?? haiwezekani, tena nchi...
  8. D

    Mtoto wa Mange Kimambi (13yrs) kuanza biashara kwa lazima ili kusevu pesa kwa ajili ya elimu ya juu

    Elimu ni expensive kila mtu anaelewa.Tatizo ni Mange kudai wao ni matajiri sana, sasa kwanini mtoto ahangaishwe? wenzangu na mie tungefanya inaeleweka hali zetu za kawaida.Kwanini tajiri amhangaishe mtoto at 13? Hilo ndio tatizo asipende kupotosha jamii kuwa wana uwezo sana huko USA na bongo...
  9. D

    Mtoto wa Mange Kimambi (13yrs) kuanza biashara kwa lazima ili kusevu pesa kwa ajili ya elimu ya juu

    Handbag nimetoa kwa mwanangu Cassandrah ambae soon anaanza biashara yake ya kwanza kabisa ya kuuza handbags nzuriiii. 90% ya Handbag zake zitarange kati ya $18-%35. very few $40-$50. Na mbili tatu za $100. Hiyo hapo pichani itauzwa $35. Itakuwepo ya black, red, blue na color zingine anajua...
  10. D

    Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

    Huyu Awadh naye kujitia shekhe, hemu tupishe kuleee,kamshauri Mange Kimambi
  11. D

    Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

    Huyo Rose Kimambi ni nani? mama wa kambo wa Mange? au ndio yule aliowazaa wadogo zake Mange yule K na yule mwingine Anil bonge mpana kama uwanja wa taifa???
  12. D

    Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

    Uwiiii jamani mbona mimi nimepitwa, mange aliandika wapi hiyo comment??? So ilikuwaje hadi akaandika? Haaaaa, basi kaenda insta kaweka picha kamkumbatia lance eti wameshikana viuno wakapiga picha, sijui anamdanganya nani.nina shosti yangu ameshaolewa na wazungu aliyenaye sasahivi wa 4 lol yeye...
  13. D

    Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela amechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    Wala haujakosea hali ndio kama hivyo ulivyoitaja, huyu Mwele aangalie Mange asimponze mzee Malecela asije akamlaani bure.Mamao Nacky ni mke halali wa malecela mange anawatusi hivi kwenye net, halafu kuna siku alichia comment kuwa mama yao kina nacky ni malaya sijui ana mapepe tangu zamani.yote...
  14. D

    Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

    Anadai alipojua tu ndio kipindi kile akasema inabidi niache vita ya siasa, sasa mbona alirudi tena kuchambua watu? unajua siri tuliyoijua sasa ni nini mwasu??? UMBEA WOOOTE NA MANENO YOTE YA CCM MANGE ANAYOYAANDIKAGA ANAAMBIWAGA NA MWELE, MATUSI YOTE WANAYOTUKANWA KINA NACKY NYAGE NA NDOA ZAO NI...
  15. D

    Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

    Wenyewe wanajifanya wajanja na mwanae wa kufikia mange, eti wamengojea january kamaliza jana kutangaza nia leo na huyu hawara wa babake mange naye kajitangaza.hivi magomvi binafsi ya hawa mashoga wakina mange mwamvita mbona mange anataka kuyaingiza kwenye siasa??? Buahahahahahaahaaaaa domo kubwa...
Back
Top Bottom