2010 pale sokoine mbeya ze komedi waliposhuka tuu jukwaani mlangoni watu wanakanyagana kuishia mitini ikabidi Jk anyang'anye mic kwa mc na kuwaamuru ze komedi warudi jukwaani wakakaaa mpaka akamaliza kuhutubia
Ya kichina hii jana mdogo wangu kapiga 30,000/- alikua anapanda UDA anapewa 5000/- akifika jangwani anageuza anapanda tena mpaka saa tisa akaenda zake coco beach kujiburudisha wajinga ndio waliwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.