Recent content by Dominicusy

  1. D

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mimi sio Warden Wala Sio examination officer , nmeona hizo nafasi za kuhamia nataka nipate uelewa kidogo kabla ya kujaribu na Mimi
  2. D

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Asante, naomba unisaidie kujua tofauti ya Warden I na Warden II , ni mtu mwenye elimu gani anaweza kuwa Warden I na Warden II
  3. D

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwenye mkeka Kuna nafasi za kuhamia za Warden I ,Warden II na Examination officer, hivi ukiwa na fani gani unaweza kuomba kuhamiahi hizo nafasi?
  4. D

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Aaah sawa asante
  5. D

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Samahani naomba kuuliza hivi unaweza kuomba nafasi kwenye taasisi mbili Kwa wakati mmoja ?
  6. D

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Naomba kuuliza hivi unaweza kuomba nafasi kwenye taasisi mbili Kwa wakati mmoja ?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Kwa maoni yangu naona hakuwa sahihi kutoa Siri hiyo maana ameleta tatizo halafu yeye ameondoka
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hi tabia yako manka siipendi!!

    Kabisa masharti kibao
Back
Top Bottom