Kama atajitoa itapendeza zaidi. Kwa sababu kimsingi hana hoja zenye mashiko ingawa ana ushawishi mkubwa ambao kwa Watanzania wa wastani ninaowajua wanaweza kujikuta wanamwamini, kumchagua na kisha kujutia baadaye.
Kama CCM watakuwa wa kuendelea kuongoza nchi, basi na waache porojo nyingi na wamsimamishe Prof. Muhongo. Huyu muhemishimiwa yuko makini (smart) sana katika utendaji na katika kupangilia mikakati.
Kama ulisikiliza hotuba yake ya kutangaza nia, tukio ambalo halikuwa na makuu, kwa watu makini...
Kama CCM watakuwa wa kuendelea kuongoza nchi, basi na waache porojo nyingi na wamsimamishe Prof. Muhongo. Huyu muhemishimiwa yuko makini (smart) sana katika utendaji na katika kupangilia mikakati. Kama ulisikiliza hotuba yake ya kutangaza nia, tukio ambalo halikuwa na makuu, kwa watu makini...
Watanzania wenye nia watamuunga mkono Prof. Muhongo. Huyu mheshimiwa yuko detailed sana. Ika kwa siasa zetu za siasa siasa hata tano bora tu ya ndani ya CCM hatakuwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.