Recent content by dominic cosmas

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la computer kuwa slow linasababishwa na nini?

    HDD kufa kumesababishwa na nn?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la computer kuwa slow linasababishwa na nini?

    Kuna dogo nimemkuta maeneo ya home huku ana computer ya Toshiba ali install window 8 two month ago ila sasa hiv akiwasha computer inachukua saa moja ndo inafika kwenye zile tiles halaf ipo slow kwel je tatizo ni nini hapoo jaman?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Majina ya TCU haya hapa na mikopo waliyopata

    Mkuu utawaua wadogo zetu kwa pressure....achen Ku update Uzi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Application ya vyuo

    Umemaliza mkuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Application ya vyuo

    Ukishaweka ile code number click pale pameandikwa Add then unaendelea name selection ya pili hivyo hivyo una click add had unamaliza
Back
Top Bottom