Kwanza kabsa nikushukuru CONTROLA kwa moyo wa kipekee ulionao unatusaidia wengi kupitia mawazo yako ALLAH akuzidishie japo najua asilimia kubwa ni watu wa kusoma nakala zako na sio kucomment
Pili binadamu ata umfanyie wema gani lazma atakuponda tu..Umejitoa kuandika nakala mbalimbali tena free...
5.RESOURCES (Rasilimali)
Waoo tunamalizia sehemu ya 5 baada ya hapa waiting kwa somo jipya
RESOURCES unapotaka kuanza kufuga hakikisha unajiandaa ata km kipato chako kidogo basi jiandae kutokana na level ya kipato chako,,,,
Maana yangu ni ipi unapotaka kuanza kufuga gharama za ufugaji zipo...
4.LOCATION (sehemu ya kufugia)
Muhimu unapotaka kuanza kufuga angalia sehemu unayotaka kufuga unaweza jiuliza maswali yafuatayo:-
=Je..?? Vip kuhusu huduma ya barabara,maji na umeme..
=Je wafugaji walionizunguka wanafuga zaidi kuku aina gani km wanafuga broilers mm ngoja nifuge layers niuze...
3.PASSION (Shauku)
Unapotaka kuanza kufuga make sure unakua na shauku ya kitu unachotaka kufanya.Anza kuwapenda kuku ,penda ufugaji wa kuku,ondoa negativity kutoka kwa watu wanaosema ufugaji mgumu Mara haulipi ww jiandae kuwa na hamu ya kufanya unachopenda
Ukiwa na PASSION utajikuta unakua...
2.COMMITMENT(Kujitoa)
Hakuna mafanikio yoyote hapa duniani ambayo yanakuja kirahisi bila mtu kujitoa na kuchukua maamuuzi magumu...
Ufugaji wa kuku ni kama biashara zingine bila kujitoa uwezi fika popote.. Sikutishi ila nakuambia ukweli hakuna mafanikio bila uvumilivu na subra ata kwenye...
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HAUJAANZA KUFUGA KUKU KIBIASHARA
1. AVAILABILITY (uwepo wako)
Kabla ya kuanza ufugaji wa kuku kibiashara hakikisha unapata nafasi ya kushiriki kwa karbu katika mradi wako.kama nafasi yako itakua ndogo sana basi jitahidi mwenza wako asimame kama wewe. Au upate kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.