Recent content by Domaradzka

  1. Domaradzka

    Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Nimekwambia wewe si mtaalam wa haya masuala ni bora ungekaa kimya maana kuzidi kuandika unajianika ulivyo mbumbumbu Kitendo cha kusema sijataja dalili wakati nimezitaja kitalaam kwamba EVD na MVD zote ni hemorrhagic fever. Kwa neno hilo wataalam wanajua ni dalili zipi. Bora uwe unanyamaza...
  2. Domaradzka

    Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Ugonjwa kutojulikana uswahilini haimaanishi jina linalojulikana ndilo litumike wakati siyo sahihi hata neno EBOLA siyo la kiswahili lakini mwishowe watu walielewa . Ila mwisho wa siku jina litazoeleka kwa sababu litasemwa. Kwani coronaviruses si walikuwepo tangu 1962 na walikuwa wanasababisha...
  3. Domaradzka

    Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Tatizo letu ni kujifanya kujua. Mambo ya kiyasansi yanathibitishwa maabara siyo ngonjera za hoja ingekuwa hivyo watu hospitali wasingepimwa maana dalili za magonjwa zinafanana kwa hiyo ingebaki tiba ya kumsikiliza mgonjwa na kung'amua bila kuchukua vipimo maabara Kwani hiyo Marburg haijawahi...
  4. Domaradzka

    Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Wewe unajifanya mjuaji sana unaeleweshwa lakini kichwa chako ni kama cha mbuzi hakisikii mpaka kiwe kwenye chungu. Vitu vya kisayansi kama siyo mtaalamu kaa kimya usubiri kueleweshwa siyo kushupaa. Haya ni magonjwa mawili tofauti yanayosababishwa na virus wawili tofauti walioko jamii moja...
  5. Domaradzka

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Shukrani kwa bandiko zuri ila ni vizuri pia kuonyesha heshima kwa mtu wa kwanza kufikiria hivi.
  6. Domaradzka

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Yuko Udsm ni lecturer ndaki ya COaFT
  7. Domaradzka

    Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Hakika baba askofu mkuu wewe ni kiongozi wa kiroho mwenye kujali
  8. Domaradzka

    TANZIA Baba Askofu Jimbo Katoliki Tanga, Anthony Banzi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili

    Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
  9. Domaradzka

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Hakika kwake ni marejeo. Nimesikitika sana commissioner alinifundisha physics hakika alikuwa hashikiki R.I.P
  10. Domaradzka

    U-Genius wa Dr. Magufuli katika kugundua Janja ya watendaji wake wapiga dili mapema

    Check hapo mwishoni kama kweli chlorine detergents haziui Coronavirus. Hiki si kitabu cha juzi waliosoma clinical Virology wanakifahamu
  11. Domaradzka

    Uwezo wa wataalam wa Bioteknolojia na Microbiolojia

    Yeye mwenyewe alikiri kuwa na uelewa mdogo kwenye Molecular biology na kukaa na wataalam kwa ajili ya research ili kurevolutionise medicine. Leo progression ya medical field huwezi ukamtenga Molecular biologist na Microbiologist.
  12. Domaradzka

    Uwezo wa wataalam wa Bioteknolojia na Microbiolojia

    SHINYA YAMANAKA MD and Orthopaedic surgeon later Scientist. Discoverer of Induced Pluripotent Stem Cell (IPS) and Noble prize winner in Medicine and /Physiology Haya ni sehemu ya maneno ya kwenye Biography yake. Ukiwa makini utagundua kwa nini hapa nchini hatuendelei kwenye field ya afya. In...
Back
Top Bottom