Recent content by dolceza

  1. D

    Niliapa kuyafuta machozi ya mke wangu mpaka naiaga dunia

    Daah Mungu awasimamie ndoa yenu, na upendo kati yenu uzidi.. Post yako imeniliza na kunipa moyo pia maana story nyingi za ndoa hukatisha tamaa watu kuingia ila ya kwako imenipa moyo , Wenye ndoa muwe mnashare na mazuri sio kila cku mabaya, nmejifunza mengi asante
  2. D

    Low mic problem on huawei ascend y300

    Hizo simu tigo wenyewe wanarekebisha, nenda tigo shop na receipt au warranty yako wanarekebisha tatizo. Kama uliinunua Tigo shop lakini.
Back
Top Bottom