Kama kijana na safari ndefu lakini kwa post hii nimekata tamaa. Unatamani sana kurudi ulikotoka. Piga moyo konde utapokelewa maana na wao ni binadamu wanakosea.
Ushauri wa bure; Acha kinyongo utaishi maisha magumu sana.
Ni muda mwafaka kwa waziri wa elimu, naibu wake, katibu mkuu pamoja na Ndalichako wajiuzulu kwani matokeo yaliyotangazwa yalisababisha baadhi ya wanafunzi kupoteza maisha na wengine wameathirika kisaikolojia. Walipaswa kujiuliza kabla ya kutoa matokeo yale ili kubaini kasoro zilizopo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.