Recent content by DOHOO

  1. DOHOO

    Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

    Jamani... Kuna mambo hayahitaji siasa kabisa.... Hasa khs afya za watu.. Mda utasema ukweli cku moja...
  2. DOHOO

    Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

    Bora uwaambie ukweli.... Coz tuna viongozi wengine ni kama wamekuwa machizi... Hutoi taarifaa halafu Kesho unaomba msaada....
  3. DOHOO

    Jenerali Ulimwengu: Kauli za Corona zilizotolewa na Rais Magufuli ni porojo zisizokuwa na mantiki au za kufurahisha umati tu

    Hapa G. Ulimwengu yupo sahihi kbsa.... Huwezi kutoa data wakati uhalisia wakupima watu haupo.... Siasa ni tofauti kbsa na sayansi! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. DOHOO

    David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

    Teyari ameshakuwa CHIZI.....kwanza cyo mbunge na ameshafukuzwa CDM...cjui anaongea kwa tiketi ya chama gani.. Hope.. natafuta huruma ya CCM... Mungu ammpe hekima SPIKA.. Haya ya leo ni aibu kesho! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. DOHOO

    Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

    Mkazo utoke wap wkt yy mwnywe ni muathirika! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. DOHOO

    Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

    Nchi hii ina viongozi wanafiki haijapata tokea.... Either ni kweli au ni Uwongo kwani ni wakae kimya bila kutoa taarifa za kila cku kama mwongozo wa WHO unavyo taka. Ila muda utasema hata wakificha kifo cyo siri... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. DOHOO

    Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

    Shida tuna raisi chizi! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. DOHOO

    Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

    Nahisi Wana mtindio wa UBONGO, C BURE
  9. DOHOO

    Haya ndiyo madai ya mkulima Herman Steyn kabla “ Kazi Tu”haijaachiwa

    Well said.... Huwa unajitambua!
  10. DOHOO

    Tupo wengi tunaosubiri siku ya anguko la Makonda

    Hv huyu jamaa kweli, hajui alienda kushabikia TAIFA lipi? Najiuliza tu! "Kati ya TAIFA LAKE na TAIFA STARS"
  11. DOHOO

    Tupo wengi tunaosubiri siku ya anguko la Makonda

    Duh! Ukweli unauma sana sana!
  12. DOHOO

    Polepole tuachie maamuzi yetu sisi kama wana Kigoma

    Huyo jamaa ni shida!
  13. DOHOO

    Ukakasi wa kauli ya Makonda kufuatia tamko la Ubalozi wa Marekani

    Shida anatofautiana na vyombo vyake vya kiusalama..... Anakurupuka!
  14. DOHOO

    Wale mnaopenda Kukurupuka ‘ Kianaharakati ‘ Mitandaoni na Kutetea ‘ msivyovijua ‘ mbona baada ya ukweli mmepotea ghafla?

    Duh...nchi hii ukistaajabu ya Musa hata ya Firauni nafikiri hayatishi......!
Back
Top Bottom