Hakuna haja ya kuwa na serikali tatu,huu muungano ufike hatua kila mmoja apambanie Hari yake,hauna faida kama upande mmoja unatoa sana,Acha wazanzibar wapambane na nchi Yao na sie tubaki kivyetu maisha yaende
Mngefanya Hata Kutupa Kwa Ufupi Ni Aina Gan Ya Biashara,namna Ya Kuiendesha Na Namna Ya Kujiunga,inatuwia Vigumu Kwa Sie Ambao Tuko Nje Ya Dar Kuifahamu.
Serikali Iliyopo Madarakan Inashndwa Kuwajibishana,kila Mtu Anamuonea Haya Mwenzie Na Matokeo Yake Ndio Kama Haya, Ghala La Taifa Tunaambiwa Lina Tani Za Kutosha Kwa Ajili Ya Kulisha Watz, Kwa Nn Isitumike Kuondoa Matatizo Km Haya Mashulen? Hahitaji Akili Za Darasan Kutambua Umuhimu Wa Chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.