Recent content by Dogo chaka

  1. D

    Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

    Huyo ni mtumwa mmoja wapo anatetea wenzie achana nae
  2. D

    Serikali inasema kilimo na ufugaji ni muhimu nchini lakini effort yao haipo

    Nani wa kiwaunga mkono ili waende nje ya nchi wakati serikali inawaangalia wanaosomea maendeleo ya jamii pekee bila kuangalia mizizi ya uchumi wetu
  3. D

    Serikali inasema kilimo na ufugaji ni muhimu nchini lakini effort yao haipo

    Sasa wataenda wangapi SUA lakini kuna vyou vingine watu wapo na wanahitaji kusoma katika mazingira bora sana
  4. D

    Serikali inasema kilimo na ufugaji ni muhimu nchini lakini effort yao haipo

    Ukiangalia sector ya kilimo na ufugaji hutupatia fedha nyingi na ajira nchini lakini serikali haiweki macho katika nyanja za mwanzo na zenue kuleta wataalam katika sector hizi. Ukiangalia katika ufugaji na vyuo vyao majengo ni ya mwaka 1950 na ni maeneo wanayotakiwa kusomea maafisa wakuja...
  5. D

    Mgeni

    Aaanh me ni mnunua madafu ikulu😎
  6. D

    Mgeni

    Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya
Back
Top Bottom