Recent content by DOFFA

  1. DOFFA

    Mbunge Msigwa: Tususie bidhaa za wafanyabiashara wanaounga mkono ukandamizaji Demokrasia

    Watu aina ya Msigwa hawapaswi kupewa mwanya ndani ya nchi........sijui uzalendo na uchungaji wao.
  2. DOFFA

    Kiprotokali IGP anampigia saluti DC?

    Elewa maana ya saluti kwanza.......
  3. DOFFA

    Buriani Komredi Kingunge, Msomi wa TANU uliyelisomesha Taifa; Kizazi kilichoandaliwa kuongoza nchi yetu

    VP ZIto mbona hujaunganisha msimamo wake na harakati za chadema?na VP chadema wamemcare kuliko Lisu?
  4. DOFFA

    Dr. Slaa, umeketi upande gani sasa?

    Ww ni wa ajabu....kwani ulitegemea Dr. angekuwa mgombea urais hata kama angebaki CDM?
  5. DOFFA

    Jamani hii imekaaje?

    Mimi Mzazi nikikosa hela ya kununulia sare za shule na nimeambiwa nimpeleke hivyo hivyo akiwa hana sare,sasa katika hili inamaana sare zimeshafutwa???naombeni mnisaidie kama kuna mtu anajua.
  6. DOFFA

    Msigwa: Madiwani dhaifu wataondoka, Kiongozi amepigwa risasi wao bila aibu wanaondoka

    Nyambaf.....wananunua???? ....CDM visingizo kwn waliokuja huko mliwanunua???????
  7. DOFFA

    Kumbe Kakobe ni CHADEMA muda tu, ndio maana anaishambulia serikali ya CCM

    Lini mchaga ambaye hafaidiki na ccm ameisifia Ccm?
  8. DOFFA

    Musa alimshauri Mungu atubu, nini maana ya kutubu?

    Tubu ww kwanza maana sisi-m ya leo siyo ile uliyokuwa unaiwaza na kupiga dili.
  9. DOFFA

    Wanachadema, Hivi hili asemalo Dr Godwin Mollel ni Kweli?

    Inasemekana anaidai chama hela nyingi sana kwa hivyo ruzuku ni marejesho ya madeni.
  10. DOFFA

    Kama 'returning officer' wa NEC ni mgombea kina Mbowe wana haki ya kususia uchaguzi

    Tuzingatie sheria na kanuni zake zinasemaje!!!!!,huwezi kupoteza haki yako ya kugombea kwa kuwa ni ex -DED........watu mkishindwa hoja za kisiasa njooni huku shambani maana kuna kazi zingine za kufanya.
Back
Top Bottom